Mapenzi sio pesa

Mapenzi sio pesa

Hebu kunywa maji kwanza.

Haya tueleze vizuri sasa imekuaje?
 
Wanangu mapenzi sio pesa. Leo nimenyang'anywa demu wangu na Jamaa mmoja hivi ambaye Hana kitu.

Mpaka nime-give up kutafuta pesa naona na Mimi nikae kinyonge tu. Labda nitapata mwanamke wa kweli.
Hii ni sawa na kusoma halafu ukafail paper ukaamua kutosoma kisa aliyefaulu hakusoma
 
Wanangu mapenzi sio pesa. Leo nimenyang'anywa demu wangu na Jamaa mmoja hivi ambaye Hana kitu.

Mpaka nime-give up kutafuta pesa naona na Mimi nikae kinyonge tu. Labda nitapata mwanamke wa kweli.
Uko duniani kwa ajili ya mademu?
 
Ushaambiwa hawa watu, tuishi nao kwa akili. Uwe na pesa au usiwe na pesa. Ishi nao kwa akili. Emu FUTA machozi huko! Akili na si Pesa!
 
Wanangu mapenzi sio pesa. Leo nimenyang'anywa demu wangu na Jamaa mmoja hivi ambaye Hana kitu.

Mpaka nime-give up kutafuta pesa naona na Mimi nikae kinyonge tu. Labda nitapata mwanamke wa kweli.
Inaonekana ulikuwa unampa pesa tu bila tumaneno twa uongo uongo, hawa viumbe bila tumaneno twa uongo uongo wanakuona zoba.
 
We huwajui wanawake ataenda huko akitosheka na jamaa akiwa hapati hela atarudi tena kwako.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole boss umeandika kinyonge sana.
 
kama kamfuata jamaa hana pesa, basi anafuata mtalimbo
wewe ulimfanya dada yako ukampapasa kwa mahaba ya kihindi
akishakolea na kukosa pesa atarudi tu kwako, sema chunga kubambikiwa mimba
 
Mapenzi Ni Kama Msumeno Tu Mimi sasahivi natafuta wa umri wa 35 kwenda juu maana wa chini ya 30 umiza kichwa unamtunza kadri uwezavyoo lakinii wapiiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom