Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
kuna katabia siku hizi unakutana na demu na siku hiyo upata penzi.je ni kwenda na wakati au urahisi wa dada zetu.coz anayetongoza ni mwanaume.
mkizungushwa maneno.....mkipewa haraka maneno!!!!!!!!
hivi mnatakaje??????????
umenena mkuu watu kama nyie mngekuepo wote dizaini kama yako ata richmond isingekuepo. wengine eti hadi tuchunguzane mara hoo hadi ndoa oh nataka niwajue wazaz na ndugu hizo ni bakulutu.
Siku hizi baadhi ya vijana wengi hawana subira kwa sababu: Mosi hawana upendo ila wana matamanio, pili ugumu wa maisha unawafanya baadhi ya dada zetu kujirahisi. Mnakutana leo na leo leo mnamalizana!
Kwa kifupi hakuna mapenzi ila tamaa tu hapo.
ukipewa mwakani ndo ugumu wa maisha unapungua?
acha hizo wewe....
Usinikubali haraka haraka!kitu kama maharage ya mbeya!
Aaaah kaza kaza bana mtoto wa kike,vilaini sana sio vitamu saa nyingine!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Umenikuna!!! Kweli aache hizo. Tumehamia dijitali yeye bado yuko analojia!
Akikuambia anakuchunguza muulize mama wewe ni takukuru......
kama muda upo hata siku ya kwanza poa tu bana kwani kuna tofauti gani ukipewa leo au ukipewa mwakani?
kukompliketisha tu maisha........
safi sana mkuu huu si mda wa kuandikiana barua tena na kuchora moyo kitu chaaap unaendelea na life kuangalia ustarabu mwingine.
....mmmh inaonekana uwe ni wa kugegeda na kusepa, unyimwe tu wewe!!!!!!!
Akikuambia anakuchunguza muulize mama wewe ni takukuru......
kama muda upo hata siku ya kwanza poa tu bana kwani kuna tofauti gani ukipewa leo au ukipewa mwakani?
kukompliketisha tu maisha........
aha ahaa hapana mkuu siyo kiivo bali mda amna kabisa wa kuanza mara hoo ntafikiria kitu on the spot