KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,748
- 86,382
Samaleko...
Ilibaki kidogo tu nidondoshe chozi lakini lilipotaka kudondoka nikakumbuka ule wimbo "wanaume tumeumbwa mateso!" halafu kabla haujaisha huo wimbo vizuri nikakumbuka pia wimbo wa Diamond kizaizai!, Hichi sio kizaizai tasa bali ni kizaizai kilichozaa!.
Japo nimeshakuwa sugu wa visa mikasa vya mapenzi lakini kwa hili naomba dunia isimame nishuke tu niende zangu Neptune huko hata kama hakuna liwalo!, Haiwezekani mtu anarudi kwakuchelewa tena usiku akiwa na lavu bite shingoni!, unamuuliza anakujibu ati "Amejing'ata mwenyewe!".
Hata kama mimi ni zwazwa au naakili mnemba kiasi gani ndo mtu anidanganye hivi...???!!
Kwa hili naunga mkono asilimia mia msemo wa "No reform no election!".
hata mapenzi yanahitaji mabadiriko huku tunapoelekea mtu atakuja na lavu bite la ng'ombe aseme ni mtu!.
Walimwengu hata kama sikufunzwa na mama yangu, kwa hili sio funzo ni jaribio la mauwaji!.
wala sina mengi yakunena ila nimeamini tu "kikulacho ki nguoni mwakon".