Mapenzi pesa kaka, akadai si kweli

Umeeleza uhalisia wenyewe kabisa watu wamekua na mtazamo tofauti wanao pe
 
Kala siku nawaambia wanangu, stop SIMPING and start PIMPING. Huji kuskia PIMPS wanalia na upuuzi kama huo. Yaani una hela, nyumba na gari unakaa unalia ujinga!!!! This generation is cooked
Bro usiseme hivo kila nafasi ina mapendo yake katika nyanja Fulani, usimpangie mtu cha kupenda
 
Hapo umeona ninafosi mpango wowote wa mtu mtu kupenda?? Mbona kama unatumia nguvu kubwa kuuaminisha uma kua "unyonge ni jambo la kawaida katika mapenzi"???

Mnatuharibia nguvu kazi ya taifa nyie
Sawa mwanetu alafu unaweza Kuta ukiwa mbele ya demu wako una kua bwege, ila ukija humu🤣
 
Bro usiseme hivo kila nafasi ina mapendo yake katika nyanja Fulani, usimpangie mtu cha kupenda
Kwani kampangia mtu Cha kupenda aau amespin fact !?

Mwanaume unapo poteza nguvu Yako ya maamuzi /ushawishi/kauli kwenye mahusiano basi Tayari unakuwa umesha yaweka mahusiano Yako kwenye anguko kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…