Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,217
- 5,350
Uongo bila Pesa haunogi.Kanuni ni moja tu, nenda vice versa na wanachokitaka wanawake. Badala ya kuspend pesa, spend uongo.
Haya maneno sio mageniUongo bila Pesa haunogi.
Well said, mapenzi sio pesa ila pesa ni muhimu sana kwenye mapenzi.Mapenzi sio pesa havina mahusiano
Lakini pesa ni tools ya kuweza ku- survive katika maisha so mapenzi yanaingia kwenye huo uhitaji wa pesa pia kwa sababu Kuna mahitaji ya msingi katika maisha yanayo paswa kufanyika na mnao date ni binaadamu so mnalazimika kuhitaji pesa ili muweze ku-survive ,
But mapenzi sio pesa , that's watu wanasema kama mapenzi ni pesa it means Kila mwenye pesa Kuna mwenye pesa zaidi yake so if mpenzi wako kichwani mwake ana hiyo tafsiri kuwa mapenzi ni pesa siku ikitokea akakutana na mwenye pesa zaidi Yako basi andika umeumia
Pia ingekuwa mapenzi ni pesa Jeff bezos Bill gates wasinge achwa na wake zao
Maisha Kwa ujumla kama unaishi Mjini pesa ni zaidi ya kitu /vitu muhimu,Well said, mapenzi sio pesa ila pesa ni muhimu sana kwenye mapenzi.
😜😅😅😅Haya maneno sio mageni
Anahonga kama kawaida ila ndo hivo unakuta demu nae anaenda kuhongaZinaweza kuwa zipo tu kwenye account lakini hazifanyi kazi 😜
😅😅😅😅 Anampelekea anaempendaAnahonga kama kawaida ila ndo hivo unakuta demu nae anaenda kuhonga
Mkuu... unataka utwaliwe kama Elijah!Achana na mapenz karbu tuwe singo
wa ubavu wang ameshaibiwa labda nitafte wa ubavu wa mwingine napo ni dhambiMkuu... unataka utwaliwe kama Elijah!
Duh... pole sana... tuombeane tufike salama tu¡ maana hata huko ni mwendo wa kuwa single tu...wa ubavu wang ameshaibiwa labda nitafte wa ubavu wa mwingine napo ni dhambi
Kala siku nawaambia wanangu, stop SIMPING and start PIMPING. Huji kuskia PIMPS wanalia na upuuzi kama huo. Yaani una hela, nyumba na gari unakaa unalia ujinga!!!! This generation is cookedNilikua napita napita insta kama kawa kwenye shughuli zangu, za kila siku, nikakutana na jamaa Mmoja, kashare stori yake.
Jamaa anadai tangu 2017 hajawahi ishiwa kwenye acc yake ya bank chini ya milioni 50.
Yani NYUMBA, gari, pesa si kitu kwake Alisha tafuta akapata, ila cha kushangaza mapenzi yana mtesa kila siku, jamaa kaongea Kwa hisia sana, anateswa na mapenzi ilihali pesa ipo na ni ya kutosha kufanya fujo za mpenzi wake anae pata lakini matukio kama kawaida tu.
Hajui wanawake wanatakaga Nini?
asantee sitafanya mapenzi ili liwe fundisho kwa watoto wangDuh... pole sana... tuombeane tufike salama tu¡ maana hata huko ni mwendo wa kuwa single tu...