Mapenzi niuwe kwa Edzen

Mapenzi niuwe kwa Edzen

Lakini nimependa kwamba anajikubali na to her beuty sio kile kilichochorewa mstari. Bali kile kilichoubwa since day one creation. Uyo anayependwa ana raha sana manake amepata mtu anayejitambua
 
mmmmhhh mambo mengine tujiangaliage basi na maumbo yetu tunaofanya adverts..Miguu na kiatu hikooo, pajaa !! napita mie

Eeeeh jamani sasa akiyaficha hayo mapaja na miguu ndo itaongezeka? Yani daily awaangalie tu nyie mnavyoonesha neema zenu za Allah akhuuuu. Hahaha let her flaunt what her mama gave her. Mungu anisamehe jamani, ila hilo pozi me nilihisi amesimamia mikono mmmh
 
duh mambo mengine ni ya kuyatazama kwa mbali
 
1014347_10201454880075545_1713441084_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom