mhimidinhothedon
Member
- Jan 5, 2014
- 69
- 22
Sjui bangi!! Kha
Kumbe mwanamke kama hana hips ni bure kabisa lol yani kama mbuzi tu kasimama flat.
Hivi wachaga miguu walinyimwa kabisa eti,hhhhhaaaaaaaaa duuu yaan huyu na mawigi yake eti nae anashindana na kina masogange sasa
Halaf huyu akili moja na Lemutuz mtu na dada yake
kwa style hii nafikiri kuna hukumu ambayo Mungu anatutafutia kama Taifa kuliko hata ile ya kumfukuza Shetani katika bustani ya Edeni.
kwa style hii nafikiri kuna hukumu ambayo Mungu anatutafutia kama Taifa kuliko hata ile ya kumfukuza Shetani katika bustani ya Edeni.
miguu yake mh.
BRING BACK OUR SUPER STAR RAYC...FLORA LYIMO LOVE HER AND MISS HER ROMANTIC SONGS KINOMAAA''' IM SO PROUD OF HER '' ENJOY FLORA LYIMO 'MBUTA NANGA!!
HABARI NDIYO HIYOOOO''' MIMI NI LOVE YAKE EZDEN NA SIYO TEAM YAKE''NI MWENDO WA MATENDOOOOOOOOOOO YA MAPENZI '''
KUNA SHIDA KWANI ? AISEEE CHUKUENI MALIMAU KARIAKOO NITALIPA'' HAHAHHAAAA'' NAFANYA YANGU NAWE FANYA YAKO'' ILA USITAKE USHINDANI MBUTA NANGA!!
NA HII NDIYO HABARI YA MUJINI ''' FLORA LYIMO HOW TO LOOK SEXY AT HOME''
Unashangaa mchagga kuwa na fito, ni asili yao. Juu figure kama ya tembo chini balaa, yaani miguu ya swala/mbuzi.
huyu dada ukitembelea web nyingi za pono humkosi. hizi ndio biashara wanazofanya ulaya, mtu hujasoma, na ni mwanamke huwezi kubeba zege au kufanya vibarua unaenda ulaya unaishije? ndio maana wanijeria wamejaa kila kona usiku wanajiuza kuliko hata wazungu.huyu dada ameondoa kabisa heshima ya kuwa mtz, ameshaonyesha uchi wake sana kwa watz pamoja na kwamba ameshazeeka na shepu hana kabisa.Hivi huyu dada huwa ana matatizo ya akili?