Mapenzi ni umasikini mtupu?

Mapenzi ni umasikini mtupu?

Goku 255

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
432
Reaction score
838
Unapoteza mda mwingi kutafuta mapenzi, badala ya kutafuta pesa unajisumbua na vitu vya kishenzi.

Kwani mwanamke anafaida gan katika maisha yako, na hujui lengo lake ni kukuangamizia ndoto yako, na kubaliana na mwamba Tajiri Tanzanite maana sisi tukiwa kama wanaume weupe, hatujisumbui na uchafu, takataka
 
Unapoteza mda mwingi kutafuta mapenzi,badala ya kutafuta pesa unajisumbua na vitu vya kishenzi. Kwan mwanamke anafaida gan katika maisha yako,na hujui lengo lake n kukuangamizia ndoto yako,na kubaliana na mwamba tajiri tanzite maana ss tukiwa kama wanaume weupe,hatujisumbui na uchafu,takataka
Sema kwako, au ukiingia kiushamba wanawake wanaumuhumu fulani kwa utulivu wetu kwa mfano mimi siwezi kumaliza mwezi bila kua na mke wangu.
 
Raha mnapata wote cha ajabu gharama kwako ~ zohani
 
Nature inasema mwanamke ni msaidizi... Sasa huwezi kusaidiwa kama huna shughuli iliyokuzidia.

Kama huna jambo huitaji msaidizi.

Mwanamke aliyesahihi huongeza ulichonacho mara 3 zaidi.
Lakini mwanamke asiyesahihi hupunguza ulichonacho mara 9 zaidi.

Kama huna cha kusaidiwa, huitaji msaidizi. Simple.
 
Sema kwako, au ukiingia kiushamba wanawake wanaumuhumu fulani kwa utulivu wetu kwa mfano mimi siwezi kumaliza mwezi bila kua na mke wangu.
Wewe nawewe ni dhaifu kabisa.
Yaani huwezi maliza mwezi tu ukiwa na mkeo?

Wewe ukifungwa jera itakuwaje? Kuna wanaume miezi na miezi hawapewi unyumba lkn jpl na biblia na hawawazi
 
Wewe nawewe ni dhaifu kabisa.
Yaani huwezi maliza mwezi tu ukiwa na mkeo?

Wewe ukifungwa jera itakuwaje? Kuna wanaume miezi na miezi hawapewi unyumba lkn jpl na biblia na hawawazi
Mkuu kama ni dharula hata mwaka na zaidi naweza ila kwa hali ya kawaida siwezi kujiumiza, wanawake wanatupa utulivu wa akili hasa ukimpata ule sahihi mwenye vinasaba vyote vya kike unakua na utulivu na focus ya kazi
 
Back
Top Bottom