Mapenzi ni Uhuru au utumwa?

Mapenzi ni Uhuru au utumwa?

Beauty Eva

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
131
Reaction score
374
MMU!
Ni utumwa au Uhuru? Ukiwa katika mapenzi, unakuwa hauna privacy. Muda wowote mpenzi wako anaweza akachukua simu yako na kuipekua.

Wengine unakuta mpenzi wako anakuwa na passwords zako za akaunti zako za benki, na hata za mitandao ya kijamii.

Kwa baadhi ya ndoa, kama mwanamke ni mwajiriwa au mjasiriamali, atafanya kazi, siku ya mwisho kipato chote anakikabidhi kwa mume.

Kwa baadhi ya ndoa, unapangiwa namna ya kuvaa, marafiki mpaka maadui.

Kama si utumwa ni nini? Na kama ni utumwa, mbona tunayalilia mapenzi?
 
Msomi wa kijijini.....naona umeanza kuleta phylosophy kwenye mapenzi. ... Ngoja tuwasubirie waje wenyewe
 
Ni ukichaa, utumwa, utoto na upimbi. Unakuta jitu zimaaaa linahonga mamilioni ili livuliwe chupi tu..

Ptuuuuuu
 
Sometims ni utumwa. coz me nilikuwa na mpenzi wangu had alikiwa ananiboa yan. akitaka kulala ananipigia cm eti nimbembeleze ndo apate ucngz aaaah....shiiiiit....!!!! au itokee ulale bila kumuaga, au asubuh bl kujuria hari lawama kibao eeeeh...!!! hadi kero. so mamabo km hayo somtms nilikuwa naona ni utumwa kwangu
 
duuu hadi alale kwel mapenzi ni utumwa
 
MMU!
Ni utumwa au Uhuru? Ukiwa katika mapenzi, unakuwa hauna privacy. Muda wowote mpenzi wako anaweza akachukua simu yako na kuipekua.

Wengine unakuta mpenzi wako anakuwa na passwords zako za akaunti zako za benki, na hata za mitandao ya kijamii.

Kwa baadhi ya ndoa, kama mwanamke ni mwajiriwa au mjasiriamali, atafanya kazi, siku ya mwisho kipato chote anakikabidhi kwa mume.

Kwa baadhi ya ndoa, unapangiwa namna ya kuvaa, marafiki mpaka maadui.

Kama si utumwa ni nini? Na kama ni utumwa, mbona tunayalilia mapenzi?
Beauty Eva mapenzi siyo utumwa bali ni sehemu Tu ya maisha ambayo unapaswa kuishi hivyo. Kuwa ndoa huwa kwa kiasi Fulani hukupunguzia Uhuru Fulani katika maisha yako ambao uliweza kuufanya wakati uko nje ya ndoa lakini haimanishi kuwa umekuwa mtumwa.

Kuhusu privacy ya wanandoa. Labda niulize why kuwe na privacy wakati mmekuwa Kitu kimoja? Ukweli ni kwamba ndoa ina misingi yake misingi hiyo ikikiukwa ndoa huvunjika Tu au isipovunjika basi wahusika hukosa furaha katika ndoa hiyo.
1 lazima kuwe na Upendo wa dhati
2 lazima kuwe na kuaminiana kati ya wanandoa
3 heshima kati ya wanandoa wanandoa lazima waheshimiane
4 kuthaminiana wanandoa lazima wathaminiane
5 uvumilivu. Wanadamu tumeumbwa na mapungufu mengi hivyo tunapokuwa kwenye ndoa ni lazima tukubali mapungufu ya wenzi wetu kama yanarekebishika turekebishane kwa Upendo na unyenyekevu.
6 ushirikiano familia ni kama kiwanda hufanya kwa utegemeano wa mitambo ya kiwanda hivyo hivyo na familia lazima mume na make washirikiane katika kujenga familia yao

Kwa mantiki hiyo.
1 usiri ni sumu na panga zuri Tu la kuvunja ndoa maana hujenga dhana ya kutokuaminiana japo yapo ambayo yanaweza yakawekwa kama Siri lakini kumbuka pia mume au mke ndo huwa MTU wa karibu kuliko MTU mwingine maishani mwako sasa kwanini umfiche Kitu Fulani ?,kwa faida ya nani?
2 ndoa huondoa Uhuru wa kitoto na kuingia katika Uhuru was kiutu uzima.hivyo Uhuru wa kiutu uzima hauathiriki na kuwa kwenye ndoa.
3 kuhusu namna ya kuishi kwa wenzi hilo ni chaguo la wanandoa wenyewe ndiyo maana Kitu cha muhimu sana katika ndoa ni mazungumzo ni lazima wana ndoa wazungumze na kuelewana juu ya tabia na namna ya kuishi kwao kwenye ndoa huwezi kuishi maisha ya kwenye adolescent age .

Kwa maana hiyo ndoa siyo utumwa.
Na kwa urembo wako wewe ukikutana na HUSBAND MATERIAL HAUTAJUTIA KUOLEWA.
 
Ss kimbembe kilikuwa ikitokea nilale nae anatk nilale nimemkumbatia mpk asubuh, wkt me nishazoea kulala kwa kujitandaza mguu mmoja hapa mwngine kuleeeee.... nilihic niko jela fulani hv ya kimya! kimya!
Bora hata umekuwa huru vipi ulienae saiv hana utumwa?
 
Beauty Eva mapenzi siyo utumwa bali ni sehemu Tu ya maisha ambayo unapaswa kuishi hivyo. Kuwa ndoa huwa kwa kiasi Fulani hukupunguzia Uhuru Fulani katika maisha yako ambao uliweza kuufanya wakati uko nje ya ndoa lakini haimanishi kuwa umekuwa mtumwa.

Kuhusu privacy ya wanandoa. Labda niulize why kuwe na privacy wakati mmekuwa Kitu kimoja? Ukweli ni kwamba ndoa ina misingi yake misingi hiyo ikikiukwa ndoa huvunjika Tu au isipovunjika basi wahusika hukosa furaha katika ndoa hiyo.
1 lazima kuwe na Upendo wa dhati
2 lazima kuwe na kuaminiana kati ya wanandoa
3 heshima kati ya wanandoa wanandoa lazima waheshimiane
4 kuthaminiana wanandoa lazima wathaminiane
5 uvumilivu. Wanadamu tumeumbwa na mapungufu mengi hivyo tunapokuwa kwenye ndoa ni lazima tukubali mapungufu ya wenzi wetu kama yanarekebishika turekebishane kwa Upendo na unyenyekevu.
6 ushirikiano familia ni kama kiwanda hufanya kwa utegemeano wa mitambo ya kiwanda hivyo hivyo na familia lazima mume na make washirikiane katika kujenga familia yao

Kwa mantiki hiyo.
1 usiri ni sumu na panga zuri Tu la kuvunja ndoa maana hujenga dhana ya kutokuaminiana japo yapo ambayo yanaweza yakawekwa kama Siri lakini kumbuka pia mume au mke ndo huwa MTU wa karibu kuliko MTU mwingine maishani mwako sasa kwanini umfiche Kitu Fulani ?,kwa faida ya nani?
2 ndoa huondoa Uhuru wa kitoto na kuingia katika Uhuru was kiutu uzima.hivyo Uhuru wa kiutu uzima hauathiriki na kuwa kwenye ndoa.
3 kuhusu namna ya kuishi kwa wenzi hilo ni chaguo la wanandoa wenyewe ndiyo maana Kitu cha muhimu sana katika ndoa ni mazungumzo ni lazima wana ndoa wazungumze na kuelewana juu ya tabia na namna ya kuishi kwao kwenye ndoa huwezi kuishi maisha ya kwenye adolescent age .

Kwa maana hiyo ndoa siyo utumwa.
Na kwa urembo wako wewe ukikutana na HUSBAND MATERIAL HAUTAJUTIA KUOLEWA.
Mkuu jarib kusummarize.Maelezo maref san.Nadhan hat Beauty Eva mwenyew kashindwa kusoma
Summarize kisha nisome vzur maelezo yak😵k?
 
Hayo yenyewe nimeandika ni summary sasa sijui unataka niandike sentensi ngapi?
 
The way unavyoishi na mpenzi wako....utafanya mapenzi yawe utumwa au yasiwe utumwaaa...si ushaambiwa uishi na mwanamke kwa akili...
 
Utumwa, Mfano mimi mke wangu kila siku anataka tufanye mapenzi na mimi nimechoka
Kwahiyo nataka nimkimbie kwa muda
 
Inategemea na mapenzi ya hao wahusika. Inawezekana yakawa ni utumwa na inawezekana kabisa yakawa ni mapenzi.
Kwenye baadhi ya ndoa mume ana kazi nzuri na mshahara mzuri hali kadhalika mke. Mume kila mwezi hutoa matumizi ya mwezi mzima nyumbani na hata siku moja haulizi mkewe anafanyia nini pesa yake.

Wengine kwenye ndoa kama hii watakwambia huyu mwanaume ni bwege au utasikia kalishwa limbwata wakati inawezekana kabisa hakuna kitu kama hicho bali ni mapenzi tu na mume kujua kwamba majukumu ya kutunza familia yake ni ya kwake na kama ana uwezo wa kufanya hivyo hakuna sababu ya kuanza kumbugudhi mkewe kuhusu mshahara wake.

MMU!
Ni utumwa au Uhuru? Ukiwa katika mapenzi, unakuwa hauna privacy. Muda wowote mpenzi wako anaweza akachukua simu yako na kuipekua.

Wengine unakuta mpenzi wako anakuwa na passwords zako za akaunti zako za benki, na hata za mitandao ya kijamii.

Kwa baadhi ya ndoa, kama mwanamke ni mwajiriwa au mjasiriamali, atafanya kazi, siku ya mwisho kipato chote anakikabidhi kwa mume.

Kwa baadhi ya ndoa, unapangiwa namna ya kuvaa, marafiki mpaka maadui.

Kama si utumwa ni nini? Na kama ni utumwa, mbona tunayalilia mapenzi?
 
Nilimpendaga dem wang ad nikampa password ya fb dah alikua anatukana watu huyo...
Mapenz hata sijui niya define vp
 
MMU!
Ni utumwa au Uhuru? Ukiwa katika mapenzi, unakuwa hauna privacy. Muda wowote mpenzi wako anaweza akachukua simu yako na kuipekua.

Wengine unakuta mpenzi wako anakuwa na passwords zako za akaunti zako za benki, na hata za mitandao ya kijamii.

Kwa baadhi ya ndoa, kama mwanamke ni mwajiriwa au mjasiriamali, atafanya kazi, siku ya mwisho kipato chote anakikabidhi kwa mume.

Kwa baadhi ya ndoa, unapangiwa namna ya kuvaa, marafiki mpaka maadui.

Kama si utumwa ni nini? Na kama ni utumwa, mbona tunayalilia mapenzi?
Mapenzi ni utumwa na uhuru pia.Vyote vipi.
 
Back
Top Bottom