Hiyo Ni kawaida tuu,Ni ukichaa, utumwa, utoto na upimbi. Unakuta jitu zimaaaa linahonga mamilioni ili livuliwe chupi tu..
Ptuuuuuu
Pale kati...Hiyo Ni kawaida tuu,
Achana na pale mahali bwana!

Dah!! Palee!!?Pale kati...![]()
Utumwa wenye heshima maana kinyume chake utaitwa muhuniMMU!
Ni utumwa au Uhuru? Ukiwa katika mapenzi, unakuwa hauna privacy. Muda wowote mpenzi wako anaweza akachukua simu yako na kuipekua.
Wengine unakuta mpenzi wako anakuwa na passwords zako za akaunti zako za benki, na hata za mitandao ya kijamii.
Kwa baadhi ya ndoa, kama mwanamke ni mwajiriwa au mjasiriamali, atafanya kazi, siku ya mwisho kipato chote anakikabidhi kwa mume.
Kwa baadhi ya ndoa, unapangiwa namna ya kuvaa, marafiki mpaka maadui.
Kama si utumwa ni nini? Na kama ni utumwa, mbona tunayalilia mapenzi?
Mkuu nipe no za mkeo kwa Msaada zaidi wa maombi, atakuwa na pepo la ngono.Utumwa, Mfano mimi mke wangu kila siku anataka tufanye mapenzi na mimi nimechoka
Kwahiyo nataka nimkimbie kwa muda
Maombi unaweza kutuma hapa mkuuMkuu nipe no za mkeo kwa Msaada zaidi wa maombi, atakuwa na pepo la ngono.
MMU!
Ni utumwa au Uhuru? Ukiwa katika mapenzi, unakuwa hauna privacy. Muda wowote mpenzi wako anaweza akachukua simu yako na kuipekua.
Wengine unakuta mpenzi wako anakuwa na passwords zako za akaunti zako za benki, na hata za mitandao ya kijamii.
Kwa baadhi ya ndoa, kama mwanamke ni mwajiriwa au mjasiriamali, atafanya kazi, siku ya mwisho kipato chote anakikabidhi kwa mume.
Kwa baadhi ya ndoa, unapangiwa namna ya kuvaa, marafiki mpaka maadui.
Kama si utumwa ni nini? Na kama ni utumwa, mbona tunayalilia mapenzi?
Maelezo yote yanayotolewa yamefupishwa kwa jibu hili.Ni utumwa wa hiyari.