Mapenzi ni Uhuru au utumwa?

Mapenzi ni Uhuru au utumwa?

Mapenzi ni baina ya wawili wanavyoyapeleka ktk maisha yao, utamu watajiju, utumwa watajiju, uchafu watajiju, umaskini watajiju, furaha watajiju, matatizo watajiju, kuendekezana watajiju, yoteeeee watajiju iwe kulalamika au kufurahia...mwisho wa siku kaamuzi kila mmoja wao ana uhuru wa kuyakalia au kuondoka..
 
Back
Top Bottom