Mapenzi ni sweet,lakin!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ni sweet,lakin!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by CHIGANDA, Mar 3, 2012.

 1. C

  CHIGANDA New Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui ni utaratibu gani hutumika kumpata mpenzi aliye mkweli,kwani ni imani yangu kuwa kila kilicho chema kina mahusiano ya moja kwa moja na Mwenyezi Mungu,lakin ajabu kuna watu wanapata wapenzi wema kwa njia haramu na kuwafanya wakose utambuzi rational,Nimehangaika sana,nimenyanyaswa sana,nimeteseka sana na haya mapenzi kwani niligusa pasipo gusika,sasa kwa kuwa mimi ni binadamu mwenye sifa zote za kibayolojia,nimeamua kuliweka hili hadharani pengine naweza pata aliyetendwa kama mimi,KAZI KWENU WALIMWENGU.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hapa hakuna anaenda kanisani kila siku j'pili hata tukuhakikishie kama utapata mkweli aliye na uhusiano na mungu.
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapo inabidi uende hospital wakupime pressure, naona iko juu sana.
   
 4. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,057
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  Aisee!
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  vuta subira utampata tu
   
 6. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mkikutana wote wawili mna machungu ya kutendwa, si patachimibika mkuu?
   
 7. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kazi unayo we mwenyewe uliyetendwa...
   
 8. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  hahahaha naima utampa presha mwenzio bure!
   
 9. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mapenzi hayatabiriki. Ni kama bahati tu unapokuta umempata mtu aliye na mwelekeo mzuri. Taratibu utapata anayekufaa. Sio wote ni waongo ila kumjua wa kweli ndio mtihani. So be patient and pray..
   
 10. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  tatzo nyie mkiwa kwenye mahusiano mnajifanya wababe mkikimbiwa mnalalamika,golden chance never come twice!
   
Loading...