Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,968
Kwanza naanza kwa kuwasalimia akhsalaam aleukum wana JF.
Mimi ni kijana niliye fundwa katika maadili mazuri ya kiafrika.
Katika kufundwa kwangu nilifundishwa kuwa mapenzi ni sanaa. Ni lazima uwe mbunifu ukiwa ndani ya mapenzi.
Kuna watu wengine wawapo ndani ya mapenzi wanajifanya watu wazima hawataki kufanya mambo ya kitoto. ilhali kwenye mapenzi mambo ya kitoto ndio yanayofanya mapenzi yanoge.
Nitawamegea baadhi ya mambo ya kufanya ili mapenzi yadumu kwa mda mrefu:-
1. Usijifanye wewe ni mtu mzima uwapo kwenye mapenzi na mpenzi wako. Mruhusu kucheza naye michezo ya kitoto mfano kutafutana mwingine akiwa amejificha.
2. Uwe msanii (Ninamaanisha sanaa yaani hadith, soga, ngano, mashairi, nyimbo nk) tafuta maneno matamu matamu ya kuongea na mwenzi wako
3.Unajua tena msanii huwa anachangua maneno ya kutumia kulingana na hadhira au maudhui ya ujumbe wake. Changua maneno ya kutumia.
4. Uwe mbunifu katika tendo la ndoa hasa katika kumuanda mwenzi wako kisaikolojia. mfano badilisha mwelekeo wa kitanda kama kimeangali kusini unaweza ukakigeuza na kutazama kwingine.
5. Unajua tena sanaa hufundisha,hukosoa na vilevile Huburudish. Tumia sanaa katika kufikisha ujumbe, unaweza ukatumia soga kufikisha ujumbe kwa mwenzi wako na akabaki anafuraha huku umemuonya vikali.
Kuna mambo mengi tu ila kwa hapa ni taweka vidole vyangu pembeni na kusubiri wachangiaji
Ukipenda usiache kuni like.