Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,314
Bwana mdogo wangu alihitimu masomo ya chuo kikuu mwaka 2013. Kakaa pasipo kuwa na kazi hadi mwaka Jana mwezi wa Novemba.
Mara nyingi mtu anapopata kazi na kazi yenyewe ikawa "nzuri" matarajio ya wengi ni kuimalika kwa mahusiano (mapenzi). Lakini kinyume chake bwana mdogo wangu mambo yalianza kumuendea mrama kama sio hali Jojo.
Wa ubani wake ambae alianza nae mahusiano tangu wakiwa chuo alimchana "live it's over". Akaniomba nijaribu kuongea na shemeji kwa lengo la kuokoa Jahazi. Binti aliniambia angekuwa amwemwacha jamaa kitambo ila kwa kuwa hakuwa na kazi aliona kumwacha kipindi hicho ni sawa na kumnyanyasa. "Kwa kuwa amepata kazi hata nikimwacha maneno hayatakuwa mengi" binti aliniambia.
Duuuhh kweli mapenzi ni sanaa pana mfano wake sijauona.