Mapenzi ni nini jamani?

Nimekuelewa
 
Mapenzi ni hisia zinazopatikana katika mwili mzima inamaana kuanzia kucha mpka nywele na unaweza kumpenda usiemjua kwa kutumia hisia moyoni akilini mpaka mwili mzima,, unaweza pendwa na mume/mke wa mtu kwa sababu ya lugha yako kwake na ikazidi mtu wake kwasababu Pengine hutumia lugha zisizoenzi mahusiano yenu
 
Basi utakuwa na ka experience ka kutosha, vipi kuhusu kumuumiza mtu ulishawahi? Najiulizaga sana hili swali kwanini hakunaga usawa katika mapenz? Unaweza mpenda mtu head over heels ila at time amekuzoea anapunguza upendo. Sijui what happens
Eeehh!ndiyo Ila nilikua bado mdogo ananipenda mimi mwanafunzi nilikua nasomaa sasa!nisingeweza hata kidogo
 
Daby hisia ambazo zinaweza kuleta matatizo makubwa ktk jamii hisia gani hizo?

I don't understand it!!unajikuta unamuwaza mtu muda wotee tuu!
ukiona hivyo ni penzi jipyaaaa likishakua Henga hayo mawazo yatapotea automaticaly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…