Mapenzi ni nini jamani?

Yaani sijawahi kujutia kuifahamu jf aisee.
Mi sijuti ila kila siku nashangaa tabia za watu. Kuna tabia bila kuwa humu nisingejua zipo. Na nilivyo tomaso sasa. Ningeambiwa na mtu ningebisha. Ila najionea nabaki hivi huyu ana akili kichwani au kajaza makabichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…