Mapenzi ni moto (I never undermine sex )

Mapenzi ni moto (I never undermine sex )

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,760
Reaction score
15,564
Naweza kusema nitakataa kila aina ya udhaifu na uraibu lakini kwenye Mapenzi hapo naomba mniweke tu, sitajisikia vibaya.

Jitahidi uwe mjuzi na mkufunzi kwenye hili... Mapenzi yanapasua miamba

Ila hatari ni moja kwenye hii sector watu wanachezewa akili (mind game) hatari sana, na wengi niwadhaifu kwenye tendo kwahiyo siraha yao kubwa huwa nikuyakwepa mapenzi.

Ushujaa sio kuona tatizo ukalikwepa.

Binafsi Ukiniuliza katika Ujana wako umejifunza nini sana kujua kwa bidii, Nitakwambia Nimejifunza Kumjua Mungu sana tena kwa Maumivu.
Na kumjua Mungu kumechochea mimi kuyapenda Mapenzi zaidi,
Na Ulokole wangu woteee, nimegundua Mapenzi sio ya kuyakwepa.

Hadithi kadhaa za Mapenzi zinazonisisimua na kunifanya nizidi kupenda Ngono.

Ukoo wa Yesu (biblia)
1. Ibrahimu na mkewe Sarai,
hawa kama ni kubenjuana basi ilikua ni hatari, na father ibrahimu lazima alikua anapeleka moto ni balaa,
Walikumbana na changomoto ya kutokupata mtoto kwa miaka mingi.

Kipindi ibrahimu anamahusiano na Sara hakuwa na mke mwingine ila Sara alipokufa tunaona Ibrahimu aliongeza wake zaidi ya mmoja.
Sex is a food.

2. Yakobo yeye alikuwa na wake wawili, mtu na dada yake, msela alikua anagombaniwa usiku.
Wife akajilaze kama gogo kesho hakuna kurudi 😂😁

3. Yuda na mkwewe Tamari.
Tamari yeye alilala na baba mkwe wake, na yeye Tamari ni bibi yake na Yesu.

4. Funga kazi alikuwa Rahabu Kahaba, Tajiri unaelewa kahaba akiwa Tajiri inamaana anauza sana mbususu, Lakini na huyu Mungu alimchagua awe bibi yake na Yesu,
Kwani alichukuliwa na kujiunga na ukoo wa Waisraeli na Kuolewa na babu yake na yesu wa kabila la Yuda.

5. Tusimsahau Mfalme Daudi, yeye aliona pisi inaoga nzuri hatari very sex kuliko wake zake, akavuta ndani.
Na ajabu ndie akawa ***** na Suleiman Mfalme aliyefata.

Sasa kule kwenye vitabu vya ndugu zangu waislamu ni fire zaidi, mapenzi ni hadi Mbinguni.

Hawa watu sio tu walikua wanajua Mapenzi (ngono) ila pia walimjua Mungu sana Elimu ya kiimani iliendelea kuwa dhabiti katika familia,

Mungu anapokupa maisha Mazuri anakupa na Muda mzuri wa kupenzika na unao wapenda. 🫵🏾

Sasa kama mnavyojua Shetani hakuumba kitu ila uwa anatoa tu copy,
Utakuta kapandikiza vitu vyake vya giza Kwenye Sex. wakati mwingine sex inakuwa very demonic lakini kama ushetani unavyoweza kuchochewa na Mapenzi na kupeana tabia chafu za kishetani..

Pia Nguvu za Mungu za kweli pia zinaweza kuchochewa na kupeana wakati na Sex, very powerful.

Kwahiyo unagundua kwenye kutiana unabeba vingi sio kupata msisimko peke yake,

Sex is not just to give you a goosebumps experience, it can give you unwanted demon.

Hakikisha unajua Vision yako ya Maisha, na Ngono iwe ni kiburudisho na kichocheo cha kukufikisha pale unapotaka kwenda.

Tuache hira za Mapenzi jamani.
Mapenzi ni Afya

Hivi Tanzania kuna wahanga wa Soulties ??? Nataka nije nitoe shule kidogo watu wajua Nafsi ya Mtu Inawezaje kufungwa na Nafsi ya Mtu mwingine ??
Unakuta mtu kapenda hadi yupo tayari kufa kwaajiri ya mapenzi. 😁😂

Chezea Mapenzi wewe.

During sex
1. Kuna energy mnakuwa mnabadilishana.
inawezakuwa bad energy or Good energy, Mapenzi yawezakuwa spiritual sana.
Anakuambukiza uyeye na wewe unamuambukiza mwenzio uwewe, Je utaweza kumuambukiza vyako na kumgeuza tabia mpenzi wako ?
Siri ya kufika kileleni, unaweza fika na kuuza na nafsi hapo hapo. 😁😂

2. Ukiuza tendo la ngono, ukaibiwa na baadhi ya vitu ndani yako, usilalamike ulikubali mwenyewe kupewa kakitu ndio utoe uchi.

3. Too much happy or Pain hufungua nguvu za rohoni kupita, Wakati wa sex ni roho yako inaweza kutawala au kutawaliwa, au kutawala kwa pamoja
Je una nguvu kubwa ya ndani hadi nafsi yako kuweza kutawala mwili wako wakati wa sex,
Ukatawala na maamuzi yako pia ?

4. Usije kusex na mtu ukiwaza unamkomoa 😁😂

5. Kitanda Chako cha Mapenzi Kinasimamiwa na Malaika au Namashehetwani kadhaa 😂😂😂😁

Sex is spiritual 😂🫵🏾🫵🏾
 
Vitabu vya deni mbona inaonyesha mostly watu hao walikua na wanawake wengi na haikua dhambi kama tunavyo aminishwa sasa lakini sasa huruhusiwi kuwa na wanawake zaidi ya mmoja inakua ni dhambi tena dhambi ya uzinzi ni dhambi mbaya tulivyoaaminishwa, lakini mfano mfalme Sulemani alikua na pisi za kutosha na Mungu bado alimbariki
 
Hizo ni mbinu za walimwengu tu, other things was created by man even sex, sasa unai-control vipi ndio hapo man created laws usizini na usitamani mke wa mwanaume mwenzio sasa utashindwaje kutamani wakati na wewe uboo unadinda?, ndio maana Mfalme Daudi alimromba yaan alizini na Mama yake na Sulemani Bath-Sheba na kumtia mimba akiwa mke wa Uria kisha akampeleka mumewe vitani akaagiza awekwe mstari wa mbele kabisa ili auwawe na yeye abakie na mke wa Uria, hapo ndipo ikaingia sheria nyingine ya Usiue

Kwa hio ni sheria zilizowekwa na wanadamu sio na Mungu. Nina mashaka hata na zile Amri 10 alizoshuka nazo Musa kule Mlimani.
 
Mkuu 🤣🤣🤣🤣
 
Dhambi ya kumtamani mwanamke hiyo hakuna mwanaume hajawahi
 
sex ni tamu sana hasa upate mdada
1. asiyenuka mdomo
2. asiyetema K
3. asiyeomba pesa
4. awe mwana chuo(nambari E)
uta enjoy mno
Kipengele kinaanzia hapo kwenye namba E! Hakuna ambaye hataki namba E kwahiyo uwezekano wa kuwa mwenyewe ni 0.00000002%.

Kama hauko mwenyewe maana yake mmepangwa na huduma inatolewa kwa mgao hasa kwa wasio na mkono wa birika.

Ukiwa bahili unatupwa chapu.
 
Wale watendaji wasenge wanaua dogo kisa laptop wanaacha bumunda limejificha huku na wifi ya hapo Victoria Place kuja kutuandikia upimbi
 
Kipengele kinaanzia hapo kwenye namba E! Hakuna ambaye hataki namba E kwahiyo uwezekano wa kuwa mwenyewe ni 0.00000002%.

Kama hauko mwenyewe maana yake mmepangwa na huduma inatolewa kwa mgao hasa kwa wasio na mkono wa birika.

Ukiwa bahili unatupwa chapu.
mtaalam kasema, mimi ni nani nipinge
 
Back
Top Bottom