Muramwaito
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 419
- 826
Yaan hio hakuna mwanaume anapindua, kutamani kunaanzia machoni macho hutazama na kuona
Mkuu falsafa yako ni Kweli lakini kwa mwenye ufahamu anajuzuia na kujizuia ndio unakuwa mfumo wa maisha yake
Ni kweli ni ngumu sana kushinda hali ya kutamani hasa kwa dunia ya sasa lakini kwa mwenye ufahamu kuhusu nadharia ya hilo tendo hakika anakuwa na strength ya kujizuia na kushinda