Mapenzi ni majira, yanaweza kubadilika muda wowote

Mapenzi ni majira, yanaweza kubadilika muda wowote

Mapacha watatu wanakwambia: MAPENZI NI KAMA MVUA INAPONYESHA, MUDA WOWOTE INAWEZA KWISHA.

Kuachwaaa, kuachwaaa, kuachwa ni shuhuli Mama/pevu. Yeye ananenepa wewe unakonda kwa mawazooo, kea mawazooo🤕🥹
 
Umenitonesha aisee

Vijana tunapaswa kujifunza Jambo moja kwamba mapenzi sio Jambo la kuaminika hasa linapogonga mlango kwenye maisha yako,, tazama vijana wadogo wamekuwa wakiondoa uhai wa maisha yao kisa mapenzi wengine wakigombana na ndugu, jamaa na marafiki kiss mapenzi. Mimi pia nilikuwa hivyo kupenda kupitiliza huku nikisahau kuwa mapenzi ni kama misimu tu ya mwaka unawekeza ukijiaminisha huyo no mtu sahihi kwako huku ukipotezea tabia zinazokikera ukiofia kuachwa hayo yote ni mapenzi sawa lakini mapenzi yasio na afya! Hivyo basi unapokuwa maishani kwenye mapenzi ingia ukiwa umeamua moja na tayari ukiwa unajua unataka nini usiingie kwenye mapenzi ukiamini utabadilika mbeleni au atabadilika mbeleni hapana tafuta kile unachotaka ukiona tumaini halipo ondoka kimya kimya na maisha yaendelee. Naitwa rayamikhal mshauri wa kila jambo a.k.a mdukuzi
 
Back
Top Bottom