Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
mwanaume sampuli hii anakuwa amesharogwa teyari.Halafu tunamwita mume -----.
Nalog off
Nalog off
Ni kweli inatakiwa kusaidiana lakini cha ajabu wakirudi wanachukua rimoti kontrol miguu juu ya stuli
Duh! Kukaa uswahilini kunahitaji moyo...
mwezio ikifika ijumaa jioni nikiingia home, kutoka labia kuwe na dharula kubwa, vinginevyo mwanzo mwisho kimtindo....
mwanaume sampuli hii anakuwa amesharogwa teyari.Halafu tunamwita mume -----.
Nalog off
mwezio ikifika ijumaa jioni nikiingia home, kutoka labia kuwe na dharula kubwa, vinginevyo mwanzo mwisho kimtindo....
hii inategemea ntu na ntu, na Je wewe na mwezio mlikutana wapi...?