Mapenzi ni kama sumu

Mapenzi ni kama sumu

Ndo changamoto za maisha, itabidi uzoee tu
 
Hehehe...halooooo...valentine ya Jana matokeo yamepatikana Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila kweli chagua moja uinywe sumu au uachane nayo..kiruuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha kabisaaah yaan.
 
Mapenzi ni kama sumu kwa hivyo chaguo ni lako uamini kama inaua ama usiamini uonje ufe!ukiwa na mpenzi alafu usimwamini yaani kila mara unafikiria atakuwa anakusaliti hii ni zaidi ya presha soon tutapoteza nguvu ya Taifa!

Muamini hadi pale utapogundua sio mwaminifu
Mapenzi ya mpito
 
Back
Top Bottom