Mapenzi ni fadhila?

nimejaribu kusoma kwa makini sana lakini sijakuelewa hata kidogo.
naomba urekebishe uandishi wako ili ueleweke ama la Baba V aje atutafsirie.

Hawa watroto tangu wamepewa hizo tablets huko mashuleni imekuwa taabu tupu utaskia mara c, x, mxuka,xana,,xhenzi.... kungekuwa na button ya kofi humu wangenikoma wallah.
 
tupo pamoja brodah!!
But unamwonaje yul;e mtu anayetaka hadi kutenda unyama juu ya mtu kisa tu hajalipwa fadhila ya penzi alokuwa analitaka??
sioni kuwa mstaarabu hata kidogo ambae anataka kutenda unyama kisa hajapewa huduma-fadhila!
tena sisi vijana ndio kabisa......
 

Kutokana na njaa njaa zetu nashida tulizonazo tumegeuza mapenzi kuwa fadhila' kitu ambacho sio kizuri na sio sahihi hata kidogo!!

Mapenzi ni upendo' na ndo maana Tunaambiwa upendo huvumilia!

Ukioa au kuolewa kwa fadhira' huwezi kuvumilia na ndo chanzo cha migongano mingi katika ndoa'' lakin pia ndo chanzo kikubwa cha ndoa nyingi kuvunjika!!
 
Mapenzi ni mabaya ndo maana hakuna anayeyafurahia wala kujivunia %#http://
 
mwali upogo?
mi ntakujibu baadae sa hv nisalimie kwanza!
 
Karibu Mae!

Yap, Tunawaza sawa kwenye hili.... Haipaswi kuwa hivi kabisa... acha upendo uhamue katikati yenu.... si kujitolea au zawadi ndio ziamue uelekeo wa upendo wa mmoja wapo.... hii kusaidia kwa kigezo cha kuja kuoana ndio mara nyingi inasababisha watu wanaolewa au kuoa wasiowapenda.. ila kwa sababu anamuonea mwenzake huruma.. au pengine kwa kuhesabu gharama alizoingia kwa ajili yake.

Ndio maana haishauriwi kabisa kufanya kitu chochote cha kipamoja(partnership) kama biashara, kujenga, kununua kiwanja au vinginevyo wakati wa uchumba kwa kuwa wanajua baadae mawazo ya mmoja yanaweza kubadilika the hivo vitu vikawa ndio kinachomshikilia kwenye huo uhusiano (sio mapenzi tena)

Ukitaka uishi maisha yasiyokuwa na majuto na kuumia roho kirahisi rahisi.... Jitahidi kufanya vitu kwa moyo na jitahidi kupunguza matarajio (expectations) maana kinachowaumiza wengi ni matarajio yao kutofikiwa na wale wanaotegemewa kufikia.
 

Inategemea N'tu na N'tu
 
Mapenzi sio fadhila na wala hayajawahi kuwa fadhila na wala hayana tabia ya ufadhila.
 
Kama mapenzi ni fadhila wengine tulishashindwa kuzirudisha.
 
yaani umeongea mapwoint bestito ila sasa hawa jamaa wa mjengoni hapa wamekiondoa kitufe cha like
sijui kwanini ajamani
 
Hawa watroto tangu wamepewa hizo tablets huko mashuleni imekuwa taabu tupu utaskia mara c, x, mxuka,xana,,xhenzi.... kungekuwa na button ya kofi humu wangenikoma wallah.
spare my ribs mwl khaaa!!
ila ukweli hivi vitu vinaboa sana achilia mbali sasa uongeaji yaani ni shida tupu...
mtoto hata jins ya kumtext mama yake hajui.
 
Mapenzi sio fadhila na wala hayajawahi kuwa fadhila na wala hayana tabia ya ufadhila.
bro.......ina maana umesahau jins humu jamvini tu watu wanavyoliaga liaga kwamba wamesomeshwa wanzao wakijua watakuja kuoana??
 
Heri ya mwaka mpya na wewe pia,

Bestito mm nadhani nitakuwa mbali kidogo hapa kwenye mada hii

1. Mara nyingi katika upendo wowote wa kikawaida lazima ukifanyia mtu panapokuwepo na kafadhila kidogo
ila katika mapenzi hiyo kitu sijaona kabisa.
2. Katika maandiko hunena kuwa upendo uondoa wingi wa hasira, na huleta fadhila sasa sijui katika mapenzi inakuwaje


Hivi kuna umuhimu wa kumtendea mema/fadhila yule umpendaye au ni kule kuonesha kuwa unampenda kwa kufanya hivyo?
 
Unajua ni nini mdada, hiyo sio fadhila ila ni kushow appreciation tu
sasa mamito wewe nionyeshe ama niambie tofauti ya kulipa fadhila na kuonyesha shukuran kwa muktadha wako.
 
kwa taarifa yako mapenzi ni matamu kama asali wewe naona hujawahi kupendwa au kupenda ndo maana unaongea hivyo na bora hawajaweka kitufe cha like nisingekulike kabisa
Mapenzi ni mabaya ndo maana hakuna anayeyafurahia wala kujivunia %#http://
 
nikianza na maandiko ni kwamba upendo huleta fadhila kutoka kwa Mungu na si kwa mwanadamu manake upendo ni amri ya Mungu.
istoshe upendo umfanyia mwenzio huwa ni sawa na unamfanyia Mungu. sijui kama kwa upendo naweza kulipa fadhila manake halipikiki.

swali lako mwisho my dear, wema halipikiki,,,,,,,,,,na hata hivyo hakuna haja ya kuwa mwema sana kwa yule umpendaye na ukasahau wengine manake kufanya hivyo bado hakukuongezei wewe thawabu kwa Mungu. Naamini kama mtu ni mwema basi huwa mwema kuanzia kwa wa nyumban kwake hadi kwa watu wa nje.
 
my broo
niliwah kumuuliza Kaizer my swtlo kwamba kwan alipokuwa ananioa alitegemea nini kutoka kwangu??
je alitegemea niwe malaika ama niwe na uwezo wa aina gani uzidio binadamu wengine?? ndipo akanijibu kweli nimekosea manake niliassume kwamba wewe si kama binadam wengine, kumbe nimepotoka tu. Hata kama ni mke wangu bado unabaki kuwa binadamu kama wengine.
 
Last edited by a moderator:
Asante na karibu sana.

Nimeona location yako ''Heaven'' aisee vipi za uko? Yale makao tulienda kuandaliwa yameshamalizika?

I like your signature... ''He is God''.. creator of all within and without us. The very LOVING and CARING FATHER, yet very mysterious with mysteriously uncomprehendable ways to our comon thinking, though we claim to understand Him (He says His thinking is as far as Heaven and earth comparing to ours)...

By the way Who can really understand Him? Who can trully grasp His infinite Mercies? Who can truly comprehend His unfailing love to us? and What about us that He likes to have us loved that way? Surely... Its nothing... we are simply dusts and we have nothing to take boast.

Lets all of us take refuge in HIS LOVE as dearly loved Sons and Daughter of the Kingdom. For its neither by Mighty nor by our strength we are here today....

nipe michapo ya huko juu!!!
yaani umeongea mapwoint bestito ila sasa hawa jamaa wa mjengoni hapa wamekiondoa kitufe cha like
sijui kwanini ajamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…