Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,410
Kuna akina mama ni wapuuzi sana. Anaongea na binti yake as if anaongea na shost yake. Hajui yale maneno yanamuharibu akili.
Wanawake ni kuwa nao makini sana. Especially hawa wanaolelewa na mama pekee ni wachache sana wanakuwa na akili sawa kichwani ila wengi wao wana akili za bangi na wanakuwa mahasidi na vitendo vyao ni vya kitoto sana.
Mimi nikishaona tu hizo dalili huwa nawatenga sitaki kuwasikia na kama ni mtu anaanza nae huwa nashauri aaachane nao.....
Hawa ndio akishazaa akikutana na mwanaume anaanza kumletea story za kama umenipenda basi umpende na mwanangu.Azae alee mwenyewe tu mbuzi katoliki huyo [emoji23][emoji23][emoji23]! Sipati picha hio migubu yake mjengoni.
Kweli kabisa. Wanaume tumshukuru Mungu tuna tabia ya kutoa sana kwa wake zetu lakini hatujawahi kujigamba kwa utoaji huo. Nadhani Mungu ameweka hiki kitu ndani yetu kuwa watoaji zaidi na kutohesabu gharama.Bora mkuu, hapo palikuwa hamna mtu kabisa. Ukiona upo na mtu kila kitu anaita changu jua ni selfish na atakusumbua sana maishani. Nature yao hawa hupokea tu sio kutoa
Simu yangu,hela yangu, gari langu, vitu vyangu, nyumba yangu, vyombo vyangu!
Ogopa sana mtu ambaye kauli hizo hazimkauki kinywani.
Mie mapenzi ya hivyo siwezi, nataka mwanamke ambaye yuko fully independent. Mapenzi ya kuanza kuumiza kichwa na hela za saluni sifanyagi, mizinga ya hovyo hovyo waiii! Demu awe fully fledged lets meet at the top. Lengo ni mapenzi tu sio kusumbuana.
Hahahahahah yani bora iwe after several days. Day one demu nauli ya kuja hana [emoji23] na ya kuondokea. Aisee sijawahi kuona sehemu yenye wanawake wa hovyo kama hapa Dar!
Uzuri huwa hawajifichi..... Aisee hakuna raha kama ukiwa na binti ambaye mama yake anaishi na baba yake au kama alilelewa na mama pekee basi huyo mama ameshafariki huwa inakuwa ahuweni sana maana akili chafu anakuwa hana.Izo ng’ombe zipo nyingi mno mwanamke mbinafsi ni hatari kwa kizazi chako mkuu maana hashindwi kutafuta utaalam kwa @Mshana Jr akuvuruge ili achote kwako na aweze kutimiza malengo ya ubinafsi wake.
Your damn rite Ms Parker 😍! Kikubwa nilichokuwa namaanisha mume lazma awe anajishughulisha tu na ku earn hata kidogo japo awe na mchango wake kwa familia ila mke akiwa ana earn zaidi na kumpa mashavu mumewe walimwengu wanakuwaga wana maindi.Mwanamke hata kama anakupenda kwa viwango vya peponi kuna siku tuu atachoka,imagine mmefunga ndoa since day one mwanamke ndio provider wa kila kitu,miaka inaenda mara paaap mwaka wa 5 wa ndoa hakuna siku mume kamtoa mke out,wakienda vaccation ni mwanamke,bills zoote ni MRS am telling you Extrovert ipo siku hiyo ndoa itakuwa shubiri tuu...
iko hivi mwanamke hata kama unalipwa 10m per month,lakini akipewa zawadi hata ya laki tuu na mumewe au mwanaume ampendae atafurahi mnoo kuliko akienda kujinunulia mwenyewe zawadi,au mume amletee zawadi kwa hela alompa yeye..
Mimi naona mwanaume asiwe too tegemezi kwa mwanamke hatokuwa huru hata siku moja,na ndio asili ya uumbaji kuwa mume kama kichwa cha familia ale kwa uchungu,unapombebesha mwanamke jukumu la kukulisha kwa jasho na kukuzalia kwa uchungu dharau jua inakukaribia.
Ndo maana Extrovert kasema mapenzi Ni two way traffic ...yani mpeane kwa kila HaliMwanamke hata kama anakupenda kwa viwango vya peponi kuna siku tuu atachoka,imagine mmefunga ndoa since day one mwanamke ndio provider wa kila kitu,miaka inaenda mara paaap mwaka wa 5 wa ndoa hakuna siku mume kamtoa mke out,wakienda vaccation ni mwanamke,bills zoote ni MRS am telling you Extrovert ipo siku hiyo ndoa itakuwa shubiri tuu...
iko hivi mwanamke hata kama unalipwa 10m per month,lakini akipewa zawadi hata ya laki tuu na mumewe au mwanaume ampendae atafurahi mnoo kuliko akienda kujinunulia mwenyewe zawadi,au mume amletee zawadi kwa hela alompa yeye..
Mimi naona mwanaume asiwe too tegemezi kwa mwanamke hatokuwa huru hata siku moja,na ndio asili ya uumbaji kuwa mume kama kichwa cha familia ale kwa uchungu,unapombebesha mwanamke jukumu la kukulisha kwa jasho na kukuzalia kwa uchungu dharau jua inakukaribia.
Ndo maana kipindi cha mahusiano ni wakati mzuri Sana wa kusomana tabia zenu kabla hamjaingia ndoani. Mi nadhani kudate zaidi ya miaka miwili ni afya sana.Kwa bahati mbaya wapo wachache sana sasa mtu anaanza kukubania na hujamuoa, ukioa si ndio itakuwa balaa.
Hizi zinakuwaga kauli za kishujaa tu af unakuta mtu wa hivyo hata form 6 hajakanyaga.Usijenge mazoea na takataka hiyo, acha ipite hivi. Hakunaga mtu anaweza ishi mwenyewe.... Huyo ni malaya. Atakuwa anakunjwa na kupewa mimba hovyo kama mbwa koko halafu age ikienda anaanza sumbua kupewa matumizi na wanaume ili ajikimu.....
Mwisho wa siku anakuja kuwa mzigo kwa watoto wake kwa kisingizio cha kuwa nimewalea kwa taabu mwenyewe bila baba zenu ile hali hapo sasa hivi ana sema kwa kinywa chake kuwa hataki kufanya maisha na mwanaume anataka kuzaa tu.
Toxic feminists nawachukia balaa na huwa nawajua on the spot kwa kauli zao. Na chanzo cha matatizo yao ni wao wenyewe na huwa wanaishia kubaya.
wanapewa mashavu sana tuu 😂 😂 sema wakati mwingine wanajisahau wanaona no need kufanya kitu wife atarekebisha,.mbaya sana hiiYour damn rite Ms Parker 😍! Kikubwa nilichokuwa namaanisha mume lazma awe anajishughulisha tu na ku earn hata kidogo japo awe na mchango wake kwa familia ila mke akiwa ana earn zaidi na kumpa mashavu mumewe walimwengu wanakuwaga wana maindi.
Mke ananunua magari lake na la mume wake. Wanakula ma Vaccations na kujenga maisha with full peace ila walimwengu wakiona hili wanamaindi? Oh jamaa mario? Mara fundi mbao tu ila mkewe ndio kila kitu! Kamfungulia Workshop jamaa boya tu.😂😂😂 Kwanini haya mambo jamani? Kwani mwanaume hatakiwi kupewa shavu na wife?
Watu wanataka miezi 7 tu mpelekane madhabahuni 😂😂😂 wanaita uchumba sugu mkika for more than a year. Trust me huwezi mjua mwanamke kama hukai nae under one roof for more than 6 months. Na asijue una mpango wa kumuoa pia ili aishi on her true colors.Ndo maana kipindi cha mahusiano ni wakati mzuri Sana wa kusomana tabia zenu kabla hamjaingia ndoani. Mi nadhani kudate zaidi ya miaka miwili ni afya sana.
Dar kuna shida kubwa hili eneo. Wanawake wengi wadangaji hawana shughuli wala kazi maalumu za kujiingizia vipato. Hawa ndo wale ukikutana nao wataanza kulist matatizo yao lukuki kabla hujaweka ajenda yako mezani.Hahahahahah yani bora iwe after several days. Day one demu nauli ya kuja hana [emoji23] na ya kuondokea. Aisee sijawahi kuona sehemu yenye wanawake wa hovyo kama hapa Dar!
Bulaza unakaza sana mzee [emoji28][emoji23][emoji1787]Imagine una date Dem anakuja kwako unamgegeda mkimaliza anakwambia Sina nauli ...hivi Kama Mwanaume huwezi jiongeza Apo ukajua una date na Malaya kigagula kabisa..! Mimi akiniomba nauli hua natoa ile ile siongezi hata Mia yani Kama Ni mia nne ya daladala naenda kuichenji kabisa nafanya hvo ili achukie na tuachane apo Apo ...! Una date Dem ambae hawezi provide hata nauli? Na nyege anazo
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Unajua wanawake huwa katika hii mijadala mnatabia ya kubadili badili hoja ili mradi muonekane mpo right.Mwanamke hata kama anakupenda kwa viwango vya peponi kuna siku tuu atachoka,imagine mmefunga ndoa since day one mwanamke ndio provider wa kila kitu,miaka inaenda mara paaap mwaka wa 5 wa ndoa hakuna siku mume kamtoa mke out,wakienda vaccation ni mwanamke,bills zoote ni MRS am telling you Extrovert ipo siku hiyo ndoa itakuwa shubiri tuu...
iko hivi mwanamke hata kama unalipwa 10m per month,lakini akipewa zawadi hata ya laki tuu na mumewe au mwanaume ampendae atafurahi mnoo kuliko akienda kujinunulia mwenyewe zawadi,au mume amletee zawadi kwa hela alompa yeye..
Mimi naona mwanaume asiwe too tegemezi kwa mwanamke hatokuwa huru hata siku moja,na ndio asili ya uumbaji kuwa mume kama kichwa cha familia ale kwa uchungu,unapombebesha mwanamke jukumu la kukulisha kwa jasho na kukuzalia kwa uchungu dharau jua inakukaribia.
Usijenge mazoea na takataka hiyo, acha ipite hivi. Hakunaga mtu anaweza ishi mwenyewe.... Huyo ni malaya. Atakuwa anakunjwa na kupewa mimba hovyo kama mbwa koko halafu age ikienda anaanza sumbua kupewa matumizi na wanaume ili ajikimu.....
Mwisho wa siku anakuja kuwa mzigo kwa watoto wake kwa kisingizio cha kuwa nimewalea kwa taabu mwenyewe bila baba zenu ile hali hapo sasa hivi ana sema kwa kinywa chake kuwa hataki kufanya maisha na mwanaume anataka kuzaa tu.
Toxic feminists nawachukia balaa na huwa nawajua on the spot kwa kauli zao. Na chanzo cha matatizo yao ni wao wenyewe na huwa wanaishia kubaya.
jibu ni NDIOUnajua wanawake huwa katika hii mijadala mnatabia ya kubadili badili hoja ili mradi muonekane mpo right.
Topic hapa inahoji tabia ya mwanamke kutojitoa katika mahusiano sio mwanaume kumhudumia mwanamke.
Me sijaona uhusiano mwanaume awe na hela ya uhakika halafu asimhudumie mwanamke wake hapo kutakuwa na tatizo ila its natural mwanaume ni mtoaji kiukweli na hilo nadhani unajua maana wanaume huwa ni waungwana wanatoa hata kuzidi akiba na uwezo wake ili tu kupata attention ya huyo mwanamke na huishia kudharauliwa.
Rudi kwenye hoja, swala la mwanamke kuwa msaada kwa mwanaume ambae amechacha hana mbele wala nyuma, yeye kumsapoti in the name of true love, wewe kwako imekaaje?!
Unaweza pendana na mwanaume ambaye hana kitu yupo at his lowest based on life difficult circumstances ambazo zipo nje ya uwezo wake kuzicontrol?!