Hii inahusu kotekote wachumba na wanandoa! Kwanini huwa mnakimbiliaga kuhisi kuwa ME akizidiwa kiuchumi na mkewe basi yeye anakuwa hana hela? Ilihali anaweza kuwa ana shughuli rasmi anaifanya ila tu kipato chake kiko chini kidogo. Sidhani kama mwanamke anaweza kuwa na guts za kumdharau mtu wa aina hiiSijui unazungumzia mapenzi yapi? Ya ndoa au haya ya kabla lakini ninachojua ni jukumu la Me kuprovide kwa Ke. Tofauti na hapo lazima Me atanyanyasika tuu hata akiwa na Ke anaye mpenda kwa dhati bado utanyanyasika. Wanaume tafuteni pesa hilo la msingi.
Hiyo ya kusaidia inaeleweka na naamini wanawake wanafurahia sana kusaidia wapenzi wao. Ila isiwe ni mazoea na wajibu wa mwanamke wa kila siku. Mwanaume rijali ni yule ana provide kwa famiilia na mpenzi wake. Ila wengi wa Me sikuhizi wanapenda mteremko kitu ambacho ni kibaya.Hii inahusu kotekote wachumba na wanandoa! Kwanini huwa mnakimbiliaga kuhisi kuwa ME akizidiwa kiuchumi na mkewe basi yeye anakuwa hana hela? Ilihali anaweza kuwa ana shughuli rasmi anaifanya ila tu kipato chake kiko chini kidogo.
Sawa ila urijali hauhusiani na ku provide zaidi. Urijali ni kutungisha mimba.Hiyo ya kusaidia inaeleweka na naamini wanawake wanafurahia sana kusaidia wapenzi wao. Ila isiwe ni mazoea na wajibu wa mwanamke wa kila siku. Mwanaume rijali ni yule ana provide kwa famiilia na mpenzi wake. Ila wengi wa Me sikuhizi wanapenda mteremko kitu ambacho ni kibaya.
Hahahah ni kweli ila huyo mke ni selfish wa kiwango cha SGR 😂😂😂 hakupendi mkuu. Amini kwamba.Hela ya mwanamke ni ya kuogopwa sana, unaweza mpa mwanamke wako 100k then baadae kdgo mkapata changamoto mfano luku ikaisha ukamuomba akupe elfu 5 kwenye hela uliyompa ili utatue hiyo changamoto(mfukoni huna kitu una nauli ya kuendea kwenye mishe zako tu). Atakupa lakini ndani itamuuma sana nasema ivi kwa experience mkuu hela ya Ke ni chungu mno ndio maana hata wengi zawadi zao kwa wanaume wao ni vitu vidogo dogo tu [emoji23][emoji23] tusoksi twa buku.
Unaongelea mapenzi ya kws mtogole lakini.Sijui unazungumzia mapenzi yapi? Ya ndoa au haya ya kabla lakini ninachojua ni jukumu la Me kuprovide kwa Ke. Tofauti na hapo lazima Me atanyanyasika tuu hata akiwa na Ke anaye mpenda kwa dhati bado utanyanyasika. Wanaume tafuteni pesa hilo la msingi.
Hahahah ni kweli ila huyo mke ni selfish wa kiwango cha SGR [emoji23][emoji23][emoji23] hakupendi mkuu. Amini kwamba.
Bora mkuu, hapo palikuwa hamna mtu kabisa. Ukiona upo na mtu kila kitu anaita changu jua ni selfish na atakusumbua sana maishani. Nature yao hawa hupokea tu sio kutoaSio mke nshapiga chini yeye anachowaza ni hela yangu tu ukitaka afanye kitu utamsapoti hataki anasema atafanya peke yake. Mtu mbinafsi simuwezi kabisa.
Yaani pale unapokuwa deep in love, upande wa pili wazime Internet ghafla.Hujasomeka mkuu? What do u mean exactly😅
AhahaahahHela ya mwanamke ni ya kuogopwa sana, unaweza mpa mwanamke wako 100k then baadae kdgo mkapata changamoto mfano luku ikaisha ukamuomba akupe elfu 5 kwenye hela uliyompa ili utatue hiyo changamoto(mfukoni huna kitu una nauli ya kuendea kwenye mishe zako tu). Atakupa lakini ndani itamuuma sana nasema ivi kwa experience mkuu hela ya Ke ni chungu mno ndio maana hata wengi zawadi zao kwa wanaume wao ni vitu vidogo dogo tu [emoji23][emoji23] tusoksi twa buku.
AhahahaYaani pale unapoluwa deep in love, upande wa pili wazime Internet ghafla.