Mapenzi ndio starehe ya kwanza kwa sasa duniani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ndio starehe ya kwanza kwa sasa duniani.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ISSA SHARAFI, Jul 26, 2012.

 1. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Poleni sana kwa wale wote walio kwenye mfungo wa Ramadhan Mungu atamsaidia na kumrehemu pia, Leo nathubuti kuandika thread hii baada ya kufanya upembuzi yakinifu na kugundua kuwa maisha ya sasa yametawaliwa na mapenzi ndio tumefanya kuwa starehe kubwa kwetu na hii inapelekea hata watoto wetu kukimbilia burudani hii ambayo pasina kujua faida na hasara ya starehe hii. Lakini nahisi kila mtu atakubaliana nami kwa hili au kuna yeyote ambaye anafikiri tofauti na mimi juu ya swala hili la mapenzi kuwa ndio starehe namba moja kwa sasa?[HR][/HR]Mapenzi yana run Dunia.....
   
 2. Githeri

  Githeri JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 820
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hebu tupatie taarifa rasmi ya utafiti wako. Umejuaje? Mahali gani umefanyia utafiti wako? Watu wangapi na makundi gani yalishiriki?
   
 3. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ni kweli hata nyimbo zinazoimbwa nowdays dhamira kuu au theme ni mapenzi, movie nazo vilevile mapenzi tuu ndo yamejaa akilini mwa watu tofauti na miaka ya nyuma nyimbo was life, movies wast actions.
  Kumbuka moja ya nyimbo za zamani, Ngalula eee ngalula, ngalula ngalula..... ukiwa mtenda mabaya... ukiwa na roho mbaya... ukiwa na pesa nyingi.... ngalula ngalula ngalula.... hope was Dr. Remy.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  sasa weweunataka tufanye nini? Kuna starehe gani nyingine ambayo bado hatujaifanya?
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mimi hela ndo starehe ya kwanza maana bila hela hakuna penzi mjini hapa
   
 6. mito

  mito JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,620
  Likes Received: 2,001
  Trophy Points: 280
  Siyo kweli, mi kwangu mapenzi si namba moja
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kila mtu ana starehe yake, teja starehe ya kwanza ni unga wa mhogo.

  Kama sio ya kwanza kwako, kwa mwingine inaweza kuwa ya kwanza.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwangu starehe ya kwanza ni kula.
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Napingana na peruzi hii
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  kwangu starehe ya kwanza ni kuperuz jf
   
 11. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  mimi kulala iseeh.!!
   
 12. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Mapenzi ni wajibu sio starehe.
  Ngono ni starehe ya mtu mpumbavu
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Source? Sample? Case study?
   
 14. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nakuunga mkono Triple G kulala ndio starehe yangu ya kwanza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Umeona ehh, watu wazushi sana
   
 16. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  But most likely jukwaa lako ukiwa JF ni MAPENZI, URAFIKI na MAHUSIANO
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  nafkir umesahu kwamba hii id siasani imo,chichat usiseme michezoni ndo kwenyewe na mmu so ni ngumu kupredict aisee
   
 18. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono, ngono starehe ya mtu maskini......
   
 19. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mi nakuunga mkono kabisaaaaaaaaa,:nerd:
   
 20. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mapenzi ni nini?
   
Loading...