Mapenzi ndio starehe ya kwanza kwa sasa duniani.

Hebu tupatie taarifa rasmi ya utafiti wako. Umejuaje? Mahali gani umefanyia utafiti wako? Watu wangapi na makundi gani yalishiriki?

Mie ningetaka anipe definition ya mapenzi.

Maana isije kuwa anachofikiri yeye na wengine kuhusu mapenzi vikawa vitu tofauti.
 
nafkir umesahu kwamba hii id siasani imo,chichat usiseme michezoni ndo kwenyewe na mmu so ni ngumu kupredict aisee


Hiyo ni kweli kabisa na michango yako imetulia, hukupotea hata kidogo ulipoamua kuwa Mwalimu.
 
Yaaani nikiambiwa kula kupewa hela na kupigana mitindo...yaaani choice ywngu nambari wani ni hiyo uliyosema ndo starehe ya kwanza sijui...yaaani mtoto wa kihehe nafunga safari toka vikindu mpaka johan hoffmanstraat 295 kwa mama gaude kufuata hiyo kitu...aisee acheni bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom