Mapenzi ndio mdudu gani?

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,014
1,498
Ninaempenda alishanieleza bayana kuwa haitowezekana kuwa na uhusiano wa mapenzi, ila kwa urafiki wa kawaida hana kikwazo. Japo haja nipa sababu nilishaelezwa na wanaomfahamu tatizo alilonalo na nimejiridhisha.

Sasa kuna huyu ambae sinahajanae ni king'ang'anizi sana, alianza kujilengesha kwangu kitambo sana nikampotezea baadae akaamua kufunguka yeye mwenyewe kwamba ananihitaji kwa maisha(yaani amenipenda na ataka sana tuwe wapenzi) binafsi sipendi kuwa na uhusiano na yeye ingawaje simchukii kwasababu ni binaadamu mwenzangu na sijawahi kugombana naye.

Awali alikua mpole na mnyenyekevu sana kwangu lakini tangu nimuhakikishie kwamba haitawezekana Mimi na yeye kuwa wapenzi amebadilika na sasa anaonekana kutumia nguvu na maarifa kuhakikisha anafanikiwa lengo lake, hakika simpendi na ubabe anaojaribu kunifanyia ili kunishinikiza nikubali kuwa nae ndio anazidi kuharibu.

Hata hivyo nami nimekua na maswali yakujiuliza iweje yule anaeonesha kunipenda na kunihitaji kwa hali yoyote ile Mimi nikose upendo na pengine hata huruma kwake, lakini hapohapo kuna asienipenda na pengine hata kunihurumia Mimi ndio nalizimisha kupendwa kwa gharama yoyote ile!?
 
Huu ndio Uzi sasaa, naona hata paragraph hakuna, saafi kabisa.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
We kobe ukome kuita mapenzi ni mdudu! Kama yamekushinda wewe usifikiri ndo kwa wote anyway mkuu unaweza kuachana nayo ukafanya vitu vyengine Kama kuwa mtumishi wa Mungu!.
 
niwie radhi kwa kukujera, ila siku yakikuchachia utakuja kuyaona kama kinyesi!.
We kobe ukome kuita mapenzi ni mdudu! Kama yamekushinda wewe usifikiri ndo kwa wote anyway mkuu unaweza kuachana nayo ukafanya vitu vyengine Kama kuwa mtumishi wa Mungu!.
 
We kobe ukome kuita mapenzi ni mdudu! Kama yamekushinda wewe usifikiri ndo kwa wote anyway mkuu unaweza kuachana nayo ukafanya vitu vyengine Kama kuwa mtumishi wa Mungu!.
😂😂😂😂
 
... sometimes life doesn't give you what you want but it gives you what you need...

Tumia akili apo achana na matamanio ya misambwanda,rangi,sura na mashepu...
 
Nikweli mkuu, ila moyo umegoma kabisa kwa huyo mdada!!.
... sometimes life doesn't give you what you want but it gives you what you need...

Tumia akili apo achana na matamanio ya misambwanda,rangi,sura na mashepu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom