Mapenzi na umri

Mapenzi na umri

MARA NYINGI KWENYE MAISHA UNATAKIWA UFANYE MAAMUZI KULINGANA NA UHALISIA WA MAZINGIRA NA NYAKATI HUSIKA PASI NA MIHEMKO NA UPOFU WA HISIA!

HISIA NA MIHEMKO NI KAMA UKUNGU AMBAO UNAPOTOWEKA TUNABAKIA KATIKA ULIMWENGU HALISI AMBAPO HUZALIWA MAJUTO NA MATESO KWA MAAMUZI ULIYOFANYA!

WORD IS ENOUGH FOR THE WISE!
 
Dah...Mkuu anataka uhakika...just in case jamaa aki rip aweze kurithiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji2960]

Sent using Beretta ARX160
hahahaha🤣 unajua hayo mambo ya kurithi mke sijawahi kuyashuhudia kabisa mkuu,hivi yapi au ni stori tu
 
Inanipa shida nina miaka 26, mwanaume anayenipenda ana 24. Hii ya mara tatu sasa namkatalia lakini hachoki anaonesha malengo na mimi anasema umri sio tatizo ila kimaumbile yeye mwanaume ana mwili mkubwa, nikisimama naye mkubwa yeye kingine nina hofu na familia yake wako wawili tu.

Napenda mwaname ambaye kwao wawe hata kuanzia watatu nakuendelea hata kama watakuwa hawana kazi najua watakuwa na mchango mkubwa sana katika shida mbalimbali ushauri wenu

wewe kweli pengine haujielewi...unaanza kunata umri wenyewe 26+...endelea kusubiri wako mwenye hizo sifa zako ameshaanza kugombana na demu wake....mwisho wa siku usije na wewe kutujazia matangazo ya kutafuta mchumba humu...SIKU HAZIGANDI ACHA KUNATA
 
Nilishamwambia hatu match hasa kwenye swala la umri nilishafuta hadi no yake jana kanitafuta tena akisisitiza kuwa ananipenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Olewa wee tena huyo ndio mzuri anakupenda. Sasa wee zuga zuga tuu utashangaa mileage ya papuchi inapanda alafu waoaji hawaonekani.
 
Yani unapenda wanaume wawe watatu kwa maana isiyo sahihi,mapenzi na mizigo ya maisha yenu ni ya wewe na yeye sasa hao nduguze wengine ni wa nini? we mwenyewe unaonyesha fikra zako bado za kitoto sana
Inanipa shida nina miaka 26, mwanaume anayenipenda ana 24. Hii ya mara tatu sasa namkatalia lakini hachoki anaonesha malengo na mimi anasema umri sio tatizo ila kimaumbile yeye mwanaume ana mwili mkubwa, nikisimama naye mkubwa yeye kingine nina hofu na familia yake wako wawili tu.

Napenda mwaname ambaye kwao wawe hata kuanzia watatu nakuendelea hata kama watakuwa hawana kazi najua watakuwa na mchango mkubwa sana katika shida mbalimbali ushauri wenu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Ukienda kuzingatia hivo vigezo
Vyako utazeekea kwa babaako

Ww sema tu hujampenda
Na huwez kumpenda

Ungekua umempenda nadhan
Tungekua tunaongea mengine mda huu

stidy
Ndo shida yao hiyo hawa viumbe..wanaanza kw kuringa weeee..baadae wananza kusumbua watu na stress zao
 
Alaf unakuta jamaa anataaka kula tunda tu asepe ww ushawaza kuolewa 😂😂😂 , Kwan mtu akikuambia anakupenda ndoo ina maanisha anataka akuoe wanawake wenye miaka kuanzia 25 bana 😀😀
 
Back
Top Bottom