micaely michael
Member
- Jul 31, 2015
- 85
- 9
Katika dunia ya sasa kijana wa kiume au binti wa kike yuko teyari kuutoa uhai wake ili tu kupigania penzi wengine hulia hata usiku na mchana kama mwendawazimu lakini pia umasikini huwafanya vijana wazee watoto kufanya maamuzi ya tofauti ikiwemo kujiua kulia, kuiba nk.
Je! Unazani mapenzi na umasikini kipi kinaumiza zaidi na kumtesa mtu
Je! Unazani mapenzi na umasikini kipi kinaumiza zaidi na kumtesa mtu