Mapenzi na Ujinga.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,557
Reaction score
1,995
Haya haya hayaa! Kama kawa kama dawa ni wakati mwingine wa kutiririkaa! Aha ni mapenzi na ujinga. Yes ni mapenzi na ujinga kwa sababu huwezi ku-enjoy penzi la kweli kama wewe sio mjinga; na huwezi kudumu kwenye relationship kama wewe sio mjinga; mapenzi na ujinga ni marafiki wawili wanaopendana sana, huwezi kuwatenganisha. Wakati mwingine mpenzi wako anakukosea, lakini unaamua tu kusamehe, ingawa hukupenda kusamehe hilo kosa, lakini ujinga umefanya kazi yake na penzi linaendelea. So kubali kuwa mjinga hata usipoletewa zawadi na mpenzi wako, usikasirike endelea tu kuwa mjinga, bila kuwa mjinga mapenzi hayaendi. Hope wajinga wenzangu mmenielewa, tuendelee hivi hivi kuwa wajinga, tusipokuwa wajinga kila siku tutakuwa single; na kuwa single yahitaji moyo mgumu kama bati la South Africa.
 
Ndo uzuri wako Mjinga unajitambua wenzio hawajitambui kabisa.

Sasa naanza kuamini Wajinga mkiwezeshwa mnaweza,mi si Mjinga ndo maana nko singal na nna roho ngumu kama kigae cha msauzi

Massive Respect Mjinga.
 
Are you sure wewe ni kirikou wa kwanza na sio wa mwisho?
 
Ndo uzuri wako Mjinga unajitambua wenzio hawajitambui kabisa.

Sasa naanza kuamini Wajinga mkiwezeshwa mnaweza,mi si Mjinga ndo maana nko singal na nna roho ngumu kama kigae cha msauzi

Massive Respect Mjinga.

ha ha haa kuwa mjinga haimaanishi kwamba wewe ni mjinga. Unajiumiza bure tu mkuu, utakumbatia mito mwaka mzima. Chezea u-single wewe!
 
bathi nieleweshe mwendhio!!

ni kwamba: kuwa mjinga haimaanishi kwamba wewe ni mjinga. Hata mpenzi wako akiwa kwenye hali ya kujifanya anajua kila kitu, kubali tu kuwa mjinga ili penzi liendelee. Usipokubali kuwa mjinga huwezi kudumu kwenye relationship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…