Mkuu kama una ndoa kwanini usibaki njia kuu? Acheni kusingizia wadada kila kitu mana hamfungwi kamba kuamishwa kwenye ndoa zenu.
Yaani Mkuu hii habari inaharibu kabisa. Mimi nimeshuhudia jamaa alikuwa family freind wa familia yangu, mara kajichanganya kwa kabinti, amehama kwake, tumemtoa juzi tukiwa team ya watu 6, karudi na begi. Baada ya siku mbili tu, mkewe kaanguka bafuni, kavunjika mguu kabisa, hivi sasa yupo Bugando. Mbaya zaidi huyo shemeji yangu, ananyonyesha mtoto wa miezi 4. The man wala hajali kama mkewe yupo hospitali! It pains alot!
Nashangaa kawa huna malengo na mwanamke unamfatia nini? Au kama umeoa si utulie na ndoa yako kwa nini umtumie bint wa watu kisha umuache ndio maana wanawakomesha nyie msiotaka kutuliaMkuu kama una ndoa kwanini usibaki njia kuu? Acheni kusingizia wadada kila kitu mana hamfungwi kamba kuamishwa kwenye ndoa zenu.
sasa kwanini musimpeleke kuombewa huyo rafikiyo na mkewe kama unajua uchawi ndo umemfanya hivyo?
mtu unafanya jambo kwa makusudi unajua una ndoa na huna mpango wa kuongeza mke then unasema umejikwaa basi na huyo binti atakuwa kajikwaa kukuroga anyway siungi mkono ushirikina but wanaume na nyie mtulieNakubaliana na wewe lakini inapotokea mtu amejikwaa kidogo, tunatarajia arejee nyumbani kwake salama. Lakini siku hizi ni tofauti maana kurudi majaliwa. Hii tabia waiache akina dada! Wakubali ku-share hasa pale wanapojikuta wamependa waume za watu!
Nashangaa kawa huna malengo na mwanamke unamfatia nini? Au kama umeoa si utulie na ndoa yako kwa nini umtumie bint wa watu kisha umuache ndio maana wanawakomesha nyie msiotaka kutulia
wameongeza na ya kusafirisha unga kweli hao ni wabunifu wanaangalia na soko kipi kinauzika sana
mtu unafanya jambo kwa makusudi unajua una ndoa na huna mpango wa kuongeza mke then unasema umejikwaa basi na huyo binti atakuwa kajikwaa kukuroga anyway siungi mkono ushirikina but wanaume na nyie mtulie
in the spiritual world, the devil is very powerful