Mapenzi na nyimbo

Mapenzi na nyimbo

mama yu

Senior Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
143
Reaction score
42
Habari wanajopo.Hebu tukumbushane nyimbo ambazo tunazikumbuka tulipokutana n wapenzi wetu.Mimi nakumbuka nyimbo za Shania Twain.Yaani wee a cha tu.
 
Am into you na price tag zinanikumbusha siku tamu sana nilizokuwaga na bebi...
 
Ukiskia Pah! ya JCB huwa naikumbuka sana, sasa usiulize kwanini
 
Mimi kelele wanazopigaga ni nyimbo tosha mandingooo ooouups yaaalaaah tamuuuu k..maeee usitoeee...
 
Mimi daima na milele nitakuwa nawe maisha yangu yote wa marlow,huwa nakumbuka mengi sana!
 
Back
Top Bottom