Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Hapa nimejitahidi nilikuwa nae mmoja tu tatizo ana wivu kisha ana mtoto. Baada ya kugundua ana mtoto nikahisi usikute mke wa mtu. Hajawahi nipiga kizinga hata sema tangu yule jamaa achomwe kisu nilishtuka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nieleweshe hii makitu Ni kweli ukiishi na mwanamke miezi 3 mfululizo pika pakua Ni mkeo? Sheria ya lini hii wajamenii
 

Sio uzembe kaka...huko ndio kuishi kaka chuo unatakiwa uburudike na maburudani bwana huku kitabu kinapanda.

Mie mpaka leo mawindo ni maeneo ya vyuo tuu...namba mpya mpya tuu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti ndoa zangu zikiwa zimevunjika
 
Kuna watu mpo na story tamu
 
Pasiansi hiyo chuo cha wanyamapori hapo Mwanza Nakumbuka couple yangu ndio ilikuwa the best couple chuo kizima hadi makuruta wengine walikuwa wananionea wivu kuna manzi wengine niliwala kimasihara kisa tu hawataki niwe na mwenzao huyo manzi yangu pisi moja hiyo ya kiha imetulia balaa...Ndani ya mwaka moja nilikula kuruta 15 pale hamruhusiwi kutoka hadi weekend na mkitoka ni kuanzia ngoma tatu asubuhi hadi 11 jioni wote ndani...Nilienjoy sana pisi za pasiansi kilichonisaidi pia chenchi za kuwanunulia maziwa dukani zilikuwepo kwahyo sikutumia nguvu sana
 
Sio uzembe kaka...huko ndio kuishi kaka chuo unatakiwa uburudike na maburudani bwana huku kitabu kinapanda.

Mie mpaka leo mawindo ni maeneo ya vyuo tuu...namba mpya mpya tuu.
Uwe na gari haijalishi linavutwa na farasi, mradi gari tu. Pia uwe na chenji kiasi inategemeana na mfuko wako.
Hawa mademu nnaokaa nao wanapigwa hadi kwenye gari saa 10 usiku then saa mbili tunakuwa wote venue. Hao ndo eti na sisi tunadate na kula kimasihara.

Hiki kipindi cha kuelekea na baada ya UE kuna ndoa za mitara nyingi. Bado kuna kipindi cha field wiki kibao.

[emoji117]Nije kwako unifundishe?
[emoji117]Sitakuwa na muda mchana nakuwa bize, kuanzia saa mbili usiku nakuwa free.
[emoji117]Basi nitakuwa nakuja usiku, mi sielewi.
(Kaanza kuja jana, tunasoma peke yetu[emoji22])
 
Mkuu malizia tafadhali
 

Legend [emoji28][emoji28][emoji3577]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…