Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Duh!! Nilikuwa nae ila tuliachana baada ya kumpa mimba afu nilihudumia tulipo maliza chuo akanikataa akakatalia na mtoto na nilienda kwao akasema hanijuiπŸ˜₯πŸ˜₯
Nashukuru mungu niliacha yakapita..sikuizi naona kamekuwa keusii afu kafupii kanakitambi wajuba wanajipigia tu ukiwa mbali unaweza Sena kafurushiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kalijiunga na chama flani na kamepiwa chini kwenye kura za maoni....
Huwa najiuliza hivi mm ndo nilkuwa nakosa usingiz kisa huyu nabaki kucheka tu🀣🀣🀣
 
Chuo ndo nilikopata mke mwema,nadumu naye vizuri kabisa miaka 6 tangia tufunge ndoa ni miaka 11 tangia tuanze mahusiano
 
Tulipendana siku ya kwanza tulipoonana, tukaendelea kuwa marafiki wazuri sana kwa miaka 2, tulipofika mwaka wa 3 tukawa wapenzi, tulifunga ndoa miaka 3 baada ya kumaliza chuo. Ni mke wangu lakini pia ni rafiki yangu sana, namshukuru sana Mungu kwa kunijalia mke rafiki kama yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…