Mapenzi na maajabu yake

Mapenzi na maajabu yake

Betri za wanaume wa jeiefu nyingi zao zimeisha chaji
 
Hela sio shida, tatizo slayqueen(ladies) matapeli wapo.
Ila mm najua pakuwakamatia,, kabla hatujalipa bill lazima tujue usiku huo tunalalaje, ukilinga kila mtu analipa bill yake.
Maswala ya kuambiana mm naenda kulala kwangu hakuna.
Unamtokea wa nini kama umeona ni shimo la choo?. Unafikiri kuna wa kukupunguzia minyege yako bure hapo?. Kapige nyeto kama unataka bure
 
Ngoja nikupe plan kijana,
First hakikisha unaomba out before kutongoza, na akiomba pesa before muda wa kwenda out unamwambia, nitakupa muda tuliopanga kuonana.

Akija unapiga verse demu anakubali, unampiga kiss kali kabisa la kizungu, demu anakua wako.

Nauhakika 100 percent mwanamke kutoa lips denda kwa mwanaume asie mpenda ni ngumu sana,
Akikataa kupigwa kiss na hela hapewi.
Masharti ni madogo tu before nikupe pesa yangu unipe kiss kwanza.

Maana kama ni kunipima mm upendo hata mm nina haki ya kukupima upendo, je ukija kunibwaga kwan mm sita umia, kwann ilalie upande wao tu, kuwa sikuamin kama unanipenda.
Ukiwa unapima hivyo utaishia kulalamika kama jamaa hapa ,wanawake wanahuruma sana ukijua ilo basi
 
Hizo comments za mwanzo sipingi lakini inategemea huyo binti kakupendea nini. Kuna uwezekano anataka uwe mwezeshaji wake hivo akakutupia mtihani huo kwanza. Hili sio tatizo kwangu kwani akipenda kula akubali kuliwa. Shida ilinitokea mmoja huyo anasali kwa Gwajima 3times @week nikataka kumeet nae eti hana viatu,suruali zao zile na hajasuka. Hapo visenti vya kula nilikuwa nampa, nikaamua tu kumwambia mwenyewe nina hamu sana hivo njoo tuexchange. Akaishia kusema mimi siko hivo, nilijua unaniita tupange maendeleo kumbe unataka tufanye na ndo kwanza hatujazoeana. Kilichofata block, sijawahi kumpenda binti kilaza hata mara moja
Ngoja nikupe plan kijana,
First hakikisha unaomba out before kutongoza, na akiomba pesa before muda wa kwenda out unamwambia, nitakupa muda tuliopanga kuonana.

Akija unapiga verse demu anakubali, unampiga kiss kali kabisa la kizungu, demu anakua wako.

Nauhakika 100 percent mwanamke kutoa lips denda kwa mwanaume asie mpenda ni ngumu sana,
Akikataa kupigwa kiss na hela hapewi.
Masharti ni madogo tu before nikupe pesa yangu unipe kiss kwanza.

Maana kama ni kunipima mm upendo hata mm nina haki ya kukupima upendo, je ukija kunibwa kwan mm sita umia, kwann ilalie upande wao tu, kuwa sikuamin kama unanipenda.
Pole mkuu,
Siku zote mwanamke akipenda na yeye hata confidence ya kuomba hela huwa hana.
 
WanaJF,

Siyo siri leo nimestaajabu mapya kabisa katika mapenzi. Ilikuwa hivi:

Kuna 'pisi' moja niliitongoza ikanambia itanijibu nivumilie. Sasa kuna siku aliniambia hana pesa ya msosi, mimi nikakaza nikajisemea siwezi kubeba mzigo usionihusum, nikamkwepa kijanja hapo.

Movie inaanza, jana usiku namwambia nipe jibu basi, akaanza maneno meng oohh mimi nina mtu ananipenda ambaye yeye ananijali, ambae haruhusu mimi nishinde njaa, nampenda sana; lakini wewe hunipendi ndiyo maana uliniacha nishinde njaa. [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaanisiyo siri nimecheka sana na hawa viumbe wa leo.

Sasa nikajiuliza mimi nimekosea wap hapo mpaka sasa, sina jibu aisee. Wana mnipe somo nilikosea wapi.
Kitendo cha kuwa ke kwa baadhi ya ke ni tiketi ya kuwa tegemezi.
 
Naendelea pokea ushaur half nichange game hewan
 
Ngoja nikupe plan kijana,
First hakikisha unaomba out before kutongoza, na akiomba pesa before muda wa kwenda out unamwambia, nitakupa muda tuliopanga kuonana.

Akija unapiga verse demu anakubali, unampiga kiss kali kabisa la kizungu, demu anakua wako.

Nauhakika 100 percent mwanamke kutoa lips denda kwa mwanaume asie mpenda ni ngumu sana,
Akikataa kupigwa kiss na hela hapewi.
Masharti ni madogo tu before nikupe pesa yangu unipe kiss kwanza.

Maana kama ni kunipima mm upendo hata mm nina haki ya kukupima upendo, je ukija kunibwa kwan mm sita umia, kwann ilalie upande wao tu, kuwa sikuamin kama unanipenda.

Aya umeeleweka..ila ukijua maisha haiko unavyofikiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom