Mapenzi na maajabu yake

Mapenzi na maajabu yake

Hahahahhahahahaha Kuna mtu nilimpima aniazime buku ishirini, tena nlipanga akinipa tu nakaa masaa kadhaa namrudishia then nimwambie nimeshasolve tatizo, khaaa akasema ooh mimi sichuniki, sijui bora nisioe blah, blah nyingiii..... Nikamwambia basi wewe hata siku nikiwa na shida hutoweza Kutoa msaada bakia kwako
Mwanaume wa kweli,kama hapo umeomba 20,nakupiga kamba kidogo tu,niko barabarani humu kwenye simu inayoweza kutoka ni kama 15 hivi. Mwanamke mwepesi kuridhika,atakuona unajali
 
Unatizama na pakutoa, kuna mahali unakua unajua tu hapa, natupa pesa kwa shimo la choo.
Unamtokea wa nini kama umeona ni shimo la choo?. Unafikiri kuna wa kukupunguzia minyege yako bure hapo?. Kapige nyeto kama unataka bure
 
Mwanaume wa kweli,kama hapo umeomba 20,nakupiga kamba kidogo tu,niko barabarani humu kwenye simu inayoweza kutoka ni kama 15 hivi. Mwanamke mwepesi kuridhika,atakuona unajali
We unatumia akili sasa, hahahhahahaha
 
Jibu mbona rahisi we bwege. Ulimtokea akakuambia subiri atakupa jibu. Jibu likaanza kutolewa kwa vipimo,je unaweza kum-care mahala popote kwa chochote?. Akakujaribu tu nina njaa ili aone kama kweli we ni mwanaume. Wewe mwenyewe ukakimbia tena. Unasema ukamkwepa. Sasa hapo unajiuliza umekosea wapi? Wakati ni rahisi tu,we msosi wa buku mbili tu,ukakimbia?.
Hana wazazi?
 
Hahahahhahahahaha Kuna mtu nilimpima aniazime buku ishirini, tena nlipanga akinipa tu nakaa masaa kadhaa namrudishia then nimwambie nimeshasolve tatizo, khaaa akasema ooh mimi sichuniki, sijui bora nisioe blah, blah nyingiii..... Nikamwambia basi wewe hata siku nikiwa na shida hutoweza Kutoa msaada bakia kwako
Kwani kipimo ni hela tu? Kwani akiwa nayo kwasasa halafu akakukula akaja kufulia itakuaje?
 
WanaJF,

Siyo siri leo nimestaajabu mapya kabisa katika mapenzi. Ilikuwa hivi:

Kuna 'pisi' moja niliitongoza ikanambia itanijibu nivumilie. Sasa kuna siku aliniambia hana pesa ya msosi, mimi nikakaza nikajisemea siwezi kubeba mzigo usionihusum, nikamkwepa kijanja hapo.

Movie inaanza, jana usiku namwambia nipe jibu basi, akaanza maneno meng oohh mimi nina mtu ananipenda ambaye yeye ananijali, ambae haruhusu mimi nishinde njaa, nampenda sana; lakini wewe hunipendi ndiyo maana uliniacha nishinde njaa. [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaanisiyo siri nimecheka sana na hawa viumbe wa leo.

Sasa nikajiuliza mimi nimekosea wap hapo mpaka sasa, sina jibu aisee. Wana mnipe somo nilikosea wapi.
Hiyo ndiyo Lovemeter yao sikuhizi... Tuma2 ila akikubali na wewe tumia mundende/vumbi la Kongo/panadol au mgongee nyagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
WanaJF,

Siyo siri leo nimestaajabu mapya kabisa katika mapenzi. Ilikuwa hivi:

Kuna 'pisi' moja niliitongoza ikanambia itanijibu nivumilie. Sasa kuna siku aliniambia hana pesa ya msosi, mimi nikakaza nikajisemea siwezi kubeba mzigo usionihusum, nikamkwepa kijanja hapo.

Movie inaanza, jana usiku namwambia nipe jibu basi, akaanza maneno meng oohh mimi nina mtu ananipenda ambaye yeye ananijali, ambae haruhusu mimi nishinde njaa, nampenda sana; lakini wewe hunipendi ndiyo maana uliniacha nishinde njaa. [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaanisiyo siri nimecheka sana na hawa viumbe wa leo.

Sasa nikajiuliza mimi nimekosea wap hapo mpaka sasa, sina jibu aisee. Wana mnipe somo nilikosea wapi.
Sorry wakuu, hivi unamtongozaje mwanamke mpaka akuambie "nitakujibu?" Yaani unakua umemuambia maneno gani mpaka akupe jibu hilo?
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Kwani kipimo ni hela tu? Kwani akiwa nayo kwasasa halafu akakukula akaja kufulia itakuaje?
Itajulikana amefulia,hapo napo pa kuamua kukucheck kama inawezekana kuendelea au aachwe na genye zake. Ukifulia,tulia na genye zako,hakuna wa kumpaka paka hayo magenye halafu atembee
 
Itajulikana amefulia,hapo napo pa kuamua kukucheck kama inawezekana kuendelea au aachwe na genye zake. Ukifulia,tulia na genye zako,hakuna wa kumpaka paka hayo magenye halafu atembee
Kumbuka mpo 6b, sisi 2b.
 
La mwisho la kukushauri kama huna pesa za kuhonga mapenzi yaache ubahili kwa mwanamke ni sumu,
 
Kumbuka mpo 6b, sisi 2b.
Kwa hiyo uchache wetu ndio iwe njia ya kuwanyanyasa tupendavyo?. Halafu hapo nani kamtaka mwenzie?. Huyo msichana yeye hajamfuata kwenda kumuomba kitu chake huyo mwanaume. Yeye mwanaume ndio kamfuata mwanamke,kapewa vigezo anakuja kulia lia huku
 
Mwanangu saaafi. Una akili kama zangu.
Unatizama na pakutoa, kuna mahali unakua unajua tu hapa, natupa pesa kwa shimo la choo.
Hizo comments za mwanzo sipingi lakini inategemea huyo binti kakupendea nini. Kuna uwezekano anataka uwe mwezeshaji wake hivo akakutupia mtihani huo kwanza. Hili sio tatizo kwangu kwani akipenda kula akubali kuliwa. Shida ilinitokea mmoja huyo anasali kwa Gwajima 3times @week nikataka kumeet nae eti hana viatu,suruali zao zile na hajasuka. Hapo visenti vya kula nilikuwa nampa, nikaamua tu kumwambia mwenyewe nina hamu sana hivo njoo tuexchange. Akaishia kusema mimi siko hivo, nilijua unaniita tupange maendeleo kumbe unataka tufanye na ndo kwanza hatujazoeana. Kilichofata block, sijawahi kumpenda binti kilaza hata mara moja
 
Hivi miaka hii bado tu mnangoja majibu, mambo yamebadilika sana huku mitaani ukiambiwa mtu anangojea jibu jua hapo ni kipimo cha mimba kimefanyika.
 
Kwani kipimo ni hela tu? Kwani akiwa nayo kwasasa halafu akakukula akaja kufulia itakuaje?
Akifulia si nitajua amefulia??? Pesa ndio ngumu, nimewahi ona mume hataki kumsaidia mke na pesa wanazo, mimi kwenye ubahili lazima nipime.... Kuna wanaume kisanga kwelikweli hata kumnunulia mkewe nguo hawezi, sio hana ila ni ushenzi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom