Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
dah mimi huwa nina aibu ya kudai madeni,
kama vipi naweza kumpa tu kama kumsaidia.
kukopa ruksa ila huruhusiwi kulipa
mimi wangu ananidai hadi basi najiuliza ni haki kweli kumlipa?

Habari wana JF!!
Swali langu ni kwamba,hivi mtu na mpenzi wake wanaweza kukopeshana hela??
mimi siwezi kumdai mtu kabisa so naogopa sana kumkopesha mtu .ila kama ni mpenzi wangu nitamuomba hela yangu.ila akinikopesha yeye dah akinidai sijui kama ni fair,si haki kumlipa mwanaume while ni mpenzi wako bana au?
Ndo maana nini?
Sitaki uyaeleze yale niliyoyaongea kule kwa Nicas Mtei. Tafuta sababu nyingine.