Mapenzi na huyu shemeji yenu kwishiney

Mapenzi na huyu shemeji yenu kwishiney

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Mpenzi wangu wa long distance relationship kweli kiroja. Mimi naishi Dar, yeye Morogoro. Amekuja kunitembela leo sababu mimi nipo off. Tupo chumbani sasa pindi nimeanza maandalizi ya mambo yetu yale. Shit!!! ananiambia yupo kwenye mzunguko na kweli nimefanya utafiti kujiridhisha kweli yupo kwenye mzunguko. Toka tuwe kwenye mahusiano atujawah hata siku moja. Na kitambo kidogo kimepita. Alafu why ajanitaharifu kama yupo hivi, walai nimwambie asije nimepigiwa simu niende kazini.
Anaondoka saa kumi kurudi Moro, naona muda aufiki akasubirie talaka yake akifika uko. All the way from Moro to Dar then yupo kwenye mzunguko. Kama siyo makusudi ni nini.
Wadada wenye tabia hizi embu kuweni waelewa.
 
Anatia kichefu chefu huyo. Kama ngoma imemuanza ghafla hapo ipo haja ya kusikiliza utetezi wake lakini kama amekuja tayari bahari imechafuka mpe white paper aandike maelezo kwa nini???
 
Pole mkuu. Nina namba hapa ya dada mmoja hivi nikupe ukamalize shida zako?🙂
 
Anatia kichefu chefu huyo. Kama ngoma imemuanza ghafla hapo ipo haja ya kusikiliza utetezi wake lakini kama amekuja tayari bahari imechafuka mpe white paper aandike maelezo kwa nini???
Leo yupo day ya pili
 
Mpenzi wangu wa long distance relationship kweli kiroja. Mimi naishi Dar, yeye Morogoro. Amekuja kunitembela leo sababu mimi nipo off. Tupo chumbani sasa pindi nimeanza maandalizi ya mambo yetu yale. Shit!!! ananiambia yupo kwenye mzunguko na kweli nimefanya utafiti kujiridhisha kweli yupo kwenye mzunguko. Toka tuwe kwenye mahusiano atujawah hata siku moja. Na kitambo kidogo kimepita. Alafu why ajanitaharifu kama yupo hivi, walai nimwambie asije nimepigiwa simu niende kazini.
Anaondoka saa kumi kurudi Moro, naona muda aufiki akasubirie talaka yake akifika uko. All the way from Moro to Dar then yupo kwenye mzunguko. Kama siyo makusudi ni nini.
Wadada wenye tabia hizi embu kuweni waelewa.

Ulisha mchoka unatafuta justfications tu, kwani ametaka iwe hivyo? sikiliza kama ingekuwa wewe ungefanyaje? unamtafutia makosa hata yatokanayo na nature yake? wacheni kuwasumbua watoto wa wenzenu na wenu watafanywa hayo hayo
 
Hivi haiwezekani kwa jinsia hizi mbili kutembeleana bila kufanya uzinzi?
INaingia akilini kweli mtu amwagwe kisa anableed?...ame'initiate hiyo bleeding kwa matakwa yake?
Kama ni msichana wako maalum wa majaribio ya uzinzi, well, unaweza kumwacha, lakini kama ni mchumba wa kweli wa kumwoa, basi una tatizo kumkichwa!
c.c AshaDii
 
Ngoja nichangie sasa.
Kaka usiwe na mawazo ya kitumwa ya ngono ngono. Mwenzako kaja angalau hata akuone nawe umwone tu yatosha sasa wewe ni ngono, ngono na wewe. Kuna mambo ya kujadili mengi sana aliyotaka mjadili zaidi ya hilo lingono unalotaka. Vile vile alitaka ajue kama wewe ni mvumilivu au la. BADILIKA KAKA.
 
Hivi haiwezekani kwa jinsia hizi mbili kutembeleana bila kufanya uzinzi?
INaingia akilini kweli mtu amwagwe kisa anableed?...ame'initiate hiyo bleeding kwa matakwa yake?
Kama ni msichana wako maalum wa majaribio ya uzinzi, well, unaweza kumwacha, lakini kama ni mchumba wa kweli wa kumwoa, basi una tatizo kumkichwa!
c.c AshaDii
huyo ni wakuzugia tu
cc AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wangu wa long distance relationship kweli kiroja. Mimi naishi Dar, yeye Morogoro. Amekuja kunitembela leo sababu mimi nipo off. Tupo chumbani sasa pindi nimeanza maandalizi ya mambo yetu yale. Shit!!! ananiambia yupo kwenye mzunguko na kweli nimefanya utafiti kujiridhisha kweli yupo kwenye mzunguko. Toka tuwe kwenye mahusiano atujawah hata siku moja. Na kitambo kidogo kimepita. Alafu why ajanitaharifu kama yupo hivi, walai nimwambie asije nimepigiwa simu niende kazini.
Anaondoka saa kumi kurudi Moro, naona muda aufiki akasubirie talaka yake akifika uko. All the way from Moro to Dar then yupo kwenye mzunguko. Kama siyo makusudi ni nini.
Wadada wenye tabia hizi embu kuweni waelewa.
Pole sana, usichukulie hasira, vumilia. Kipindi mimi namuowa bibi yako naye hakuacha visa yaani hizo ndio tabia za kike.....angalia kaona muda muafaka kucha kwako akiwa kwenye bleed. Ninachojaribu kukueleza hata hawa bibi zenu walikuwa na vijimambo hivyo hivyo......., Kama babu yako yupo hai jaribu umuulize baaadhi ya tabia za maudhi za wanawake atakuambia................ndio maana ni rahisi kwa kwa wabibi kujidai kuwa wao walikuwa watuiifu kwa waume zao Enzi za ujana lakini lol huonyesha watu wa nje kuwa ni watiifu ila mkiingia chumbani kuna mambo anaweza kufanya ukabaki unashangaa. Am now 69yrs japo nipo dijito sababu fani yangu ni sharia na uandishi wa habari...........ila vuta pumzi.
 
Kweli kabisa mkuu.
Ajaribu kujiweka ktk nafasi ya mdada then atapata jibu.

Hivi haiwezekani kwa jinsia hizi mbili kutembeleana bila kufanya uzinzi?
INaingia akilini kweli mtu amwagwe kisa anableed?...ame'initiate hiyo bleeding kwa matakwa yake?
Kama ni msichana wako maalum wa majaribio ya uzinzi, well, unaweza kumwacha, lakini kama ni mchumba wa kweli wa kumwoa, basi una tatizo kumkichwa!
c.c AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Nilikula karanga mbichi weeee!! Usiku kucha kitu hicho kwa kusubiri ugeni wangu leo.
JAMANI!!!
 
Pole sana, usichukulie hasira, vumilia. Kipindi mimi namuowa bibi yako naye hakuacha visa yaani hizo ndio tabia za kike.....angalia kaona muda muafaka kucha kwako akiwa kwenye bleed. Ninachojaribu kukueleza hata hawa bibi zenu walikuwa na vijimambo hivyo hivyo......., Kama babu yako yupo hai jaribu umuulize baaadhi ya tabia za maudhi za wanawake atakuambia................ndio maana ni rahisi kwa kwa wabibi kujidai kuwa wao walikuwa watuiifu kwa waume zao Enzi za ujana lakini lol huonyesha watu wa nje kuwa ni watiifu ila mkiingia chumbani kuna mambo anaweza kufanya ukabaki unashangaa. Am now 69yrs japo nipo dijito sababu fani yangu ni sharia na uandishi wa habari...........ila vuta pumzi.

Safi sana digital mzee!
 
Back
Top Bottom