Mapenzi na ajira hatari mno

Mapenzi na ajira hatari mno

MTU KAZI

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
85
Reaction score
31
Imekua ni kawaida sana hususani kwa baazi ya mabosi ambao ni wa kiume kuwataka kimapenzi mabinti wanaoomba kazi kwenye ofisi zao.Binti ili apate kazi ni lazima atoe rushwa ya mapenzi,n kweli kuwa inarahisisha kupata kazi ya maana lakini ni hatari mno.Hatari zake n kama:magojwa ya zinaa, kuipoteza hiyo kazi n rahisi mno kama ulivyo ipata, ufanisi wa kazi hupungua, kuvujika kwa ndoa kama mwajili kaoa ama mwajiliwa kaolewa.n.k.Jaman kina dada na nyie mibaba jitambuen basi.Mnayo fanya ni dhambi kubwa mno.
 
Wala tusiwalaumu waajiri bhana dada zetu wenyew wanapenda mteremko(kujirahisisha) utakuta anaingia ofisin kwa mtu kavaa kimitego halafu haishi kujichekesha sasa hapo atakuwa anataka nn sasa! Kudada mmoja nilikuwa naye kwenye interview alitimuliwa nje kabisa kisa vivaz alivyovaa............ Waaambie tu waache kumfunga mbuz karbu na makaz ya simba wataliwa bure na simba wenye njaa hahaha!
 
Leta data source Hapa wacha kutuongopea ikiwezekana na ushaidi wa picha tukamilishe findings Zako
 
Imekua ni kawaida sana hususani kwa baazi ya mabosi ambao ni wa kiume kuwataka kimapenzi mabinti wanaoomba kazi kwenye ofisi zao.Binti ili apate kazi ni lazima atoe rushwa ya mapenzi,n kweli kuwa inarahisisha kupata kazi ya maana lakini ni hatari mno.Hatari zake n kama:magojwa ya zinaa, kuipoteza hiyo kazi n rahisi mno kama ulivyo ipata, ufanisi wa kazi hupungua, kuvujika kwa ndoa kama mwajili kaoa ama mwajiliwa kaolewa.n.k.Jaman kina dada na nyie mibaba jitambuen basi.Mnayo fanya ni dhambi kubwa mno.

Umenikumbusha kipindi hicho natafuta kazi ofisi fulani ya serikali miaka kadhaa iliyopita. Pamoja na kuwa na sifa stahiki na vyeti vyangu original.... aiseee.... it was a bad experience i tell u. Msichana ukiwa hujajielewa unataka nn katika maisha unaweza kujuta maisha yako yote. Namshukuru Mola alinipitisha salama katika hilo jaribu.
 
vp alitaka kukupa ajira huku mkiwa gest au?!
 
Wala tusiwalaumu waajiri bhana dada zetu wenyew wanapenda mteremko(kujirahisisha) utakuta anaingia ofisin kwa mtu kavaa kimitego halafu haishi kujichekesha sasa hapo atakuwa anataka nn sasa! Kudada mmoja nilikuwa naye kwenye interview alitimuliwa nje kabisa kisa vivaz alivyovaa............ Waaambie tu waache kumfunga mbuz karbu na makaz ya simba wataliwa bure na simba wenye njaa hahaha!

Anayejichekesha kwa boss hana CV za kutosha kwa ajira anayoomba au hana comfidence kuwa bila kutoa rushwa kwa boss hawezi kuajiriwa au pengine kama kazi ni za field anaogopa kupangwa kijijini sana. Lakini mwanamke mwenye CV na kujiamini hawezi kujirahisi kwa bosi labda kama amempenda tu na sio masuala ya kazi. Maboss mara nyingi ndio wenye matatizo ya kutaka ngono ili watoe ajira.
 
vp alitaka kukupa ajira huku mkiwa gest au?!

Over my dead body....! Hiyo ndio hasira niliyokuwa nayo halafu sina hela mfukoni. Sikupata ajira best....! Nilisotaje mpaka 4 months later nikapata ajira sehemu nyingine tofauti kabisa.
 
Anayejichekesha kwa boss hana CV za kutosha kwa ajira anayoomba au hana comfidence kuwa bila kutoa rushwa kwa boss hawezi kuajiriwa au pengine kama kazi ni za field anaogopa kupangwa kijijini sana. Lakini mwanamke mwenye CV na kujiamini hawezi kujirahisi kwa bosi labda kama amempenda tu na sio masuala ya kazi. Maboss mara nyingi ndio wenye matatizo ya kutaka ngono ili watoe ajira.

ahaaa!
 
Over my dead body....! Hiyo ndio hasira niliyokuwa nayo halafu sina hela mfukoni. Sikupata ajira best....! Nilosotaje mpaka 4 months later nikapata ajira sehemu nyingine tofauti kabisa.

sema hakyamungu....
 
Over my dead body....! Hiyo ndio hasira niliyokuwa nayo halafu sina hela mfukoni. Sikupata ajira best....! Nilosotaje mpaka 4 months later nikapata ajira sehemu nyingine tofauti kabisa.

pole sana mkuu! Basi ww ulijitambua na uliitambua thaman yako lakin kuna wadada wengne wanachefua kweli! Yaan wakizingulia kidogo tayar wameanza kulegeza vifungo vya sket..........
 
halafu hyo ID vp?? Inamaana ww ni mtam kweli?! Teh teh teh
 
pole sana mkuu! Basi ww ulijitambua na uliitambua thaman yako lakin kuna wadada wengne wanachefua kweli! Yaan wakizingulia kidogo tayar wameanza kulegeza vifungo vya sket..........
yaan kumbe na skt zina vifungo???nilijua ni blauzi tu
 
Back
Top Bottom