Imekua ni kawaida sana hususani kwa baazi ya mabosi ambao ni wa kiume kuwataka kimapenzi mabinti wanaoomba kazi kwenye ofisi zao.Binti ili apate kazi ni lazima atoe rushwa ya mapenzi,n kweli kuwa inarahisisha kupata kazi ya maana lakini ni hatari mno.Hatari zake n kama:magojwa ya zinaa, kuipoteza hiyo kazi n rahisi mno kama ulivyo ipata, ufanisi wa kazi hupungua, kuvujika kwa ndoa kama mwajili kaoa ama mwajiliwa kaolewa.n.k.Jaman kina dada na nyie mibaba jitambuen basi.Mnayo fanya ni dhambi kubwa mno.