Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 104
Hapa naomba wanajamvini nasikia jirani yangu anagombana na mke wake hapa chumbani kwao eti mwanamke anasema apelekwe kwa mtoko na baba wa nyumba anasema eti usawa huu hawezi eti mipango haijakaa sawa. Kwa hiyo VALENTINE ni lazima MTOKO?