Mapenzi Mbashara

Wabongo mnapenda picha nzuri
Hizo mara nyingi huwa staged, ndio maana mapenzi yana washinda mapenzi ni zaidi ya show offs hizo
 
mzushi tu mimi napenda real men kama trump sio huyu wa show off
Ha ha trump ananiudhi tu kwa kukosa staha ya mazungumzo. Yule mzee kwenye debate ni zero kabisa. Mie naona speech zake zinambwembwe lakini hazina kitu. Ni sawa na rais wa jamhuli
 
Wabongo mnapenda picha nzuri
Hizo mara nyingi huwa staged, ndio maana mapenzi yana washinda mapenzi ni zaidi ya show offs hizo
Unaelewa nini kuhusu mapenzi...please can you elaborate for me labda tungeanzia hapo
 
Back
Top Bottom