FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
- Thread starter
-
- #21
Inaonyesha wewe hujui kupenda wewe huyo unae sema wampenda kumbe geresha tu muulize MJ1 anavyo teseka utapata jibu.
mme wangu nampenda siwezi kumuua jamani no neva on this world
Huko nyuma niliteseka sana sasa nimepata tulizo na barafu ya moyo wangu
mme wangu nampenda siwezi kumuua jamani no neva on this world
Na anae kwamisha penzi lako kwa mme wako utamfanyaje? Si umeona huyo jirani yako akaamua kunyofoa uhai wa mme ambae hampendi.
Mijitu mingine miongo sana.
Mijitu mingine miongo sana.
Hahahahaha bora umesema wewe nikisema mm hapa dah
ni bora ukae kimya tu wapo wanaolia juu ya penzi wapo wanaoona neema katika maisha kila kitu na wakati wake ni mambo ya nyakati tu
utajj naona unagombana na kivuli
kama hupendwi kalagabaho kila kitu na wakati wake lazima sasa nijivunie hilo penzi ikitokea siku likageuka shubiri utanisaidia wewe ????
Sasa si umeaga unaenda kupika?
Vikiungulia au mzee akichelewa kula utajibu nini? Kama kweli wampenda nenda kapike.
Litengenezwe kwa chochote kila mi sijali, namimina kilaji tu. Lol! Kiu, ngoja niwahi Nyama Chabez
MJ nampenda Huko nyuma niliteseka sana sasa nimepata tulizo na barafu ya moyo wangu
Ebwana Nyama Chabez iko wapi nije na FirstLady, nadhani keshamaliza kupika...ngoja nimcheck..
Inaonyesha wewe hujui kupenda wewe huyo unae sema wampenda kumbe geresha tu muulize MJ1 anavyo teseka utapata jibu.
Sasa si umeaga unaenda kupika?
Vikiungulia au mzee akichelewa kula utajibu nini? Kama kweli wampenda nenda kapike.
Nani unamdanganya? u and me we know the truth and i will keep it that way unless you...or sink the script.
Bibie ushamaliza kupika?.
Jamani tusikimbilie kuhukumu kwamba mke kamuua mwenza, tu kwa sababu kaamua kuishi na serengeti boys.
Kupata mwenza mara kabla ya kutimiza kukaa eda integemea na mtu.
Mimi binafsi naamini kuwa:
1. mfiwa anaweza kuamua kuoa/kuolewa haraka kutokana na maumivu ya upweke. Ukizingatia ni mama amefiwa na mume, inatisha kulala peke yako. Hebu niambie baada ya kufiwa na kuzika palikuwa na ndugu waliokaa na mama huyo kumpa company? kama hana ndugu au rafiki wa kuwa naye karibu huenda ni hali hiyo imemfanya apate mwenza haraka ili kuondoa upweke. Ingawa kiutamaduni wa mwafrika ndo tunapeana uchawi tena.
2. Mfiwa naaweza asiowe/asiolewe kwa kuwa haoni kama atapata wa kuziba pengo, wapo wengi waliooshi bila kuoa au kuolewa baada ya kufiwa.
Ukiacha taratibu za kimila n.k. kuoa au kuolewa muda mfupi baada ya kufiwa inabidi tumwachie mhusika mwenyewe, hatujui nini kitamsaidia kupata usingizi na aendelee kuishi.
Naomba msimtenge huyo mama, maana majirani nao ndo kama hivyo washaanza, ooh, kaua ili aolewe. TUSIHUKUMU mwachieni Mungu ahukumu kila moja kwa dhambi aloitenda.
Na Si umeona huyo jirani yako akaamua kunyofoa uhai wa mme ambae hampendi.