Mapenzi Mapenzi Mapenzi aah jamani aua sababu ya penzi zito kwa...

Inaonyesha wewe hujui kupenda wewe huyo unae sema wampenda kumbe geresha tu muulize MJ1 anavyo teseka utapata jibu.

mme wangu nampenda siwezi kumuua jamani no neva on this world
Huko nyuma niliteseka sana sasa nimepata tulizo na barafu ya moyo wangu :)
 
mme wangu nampenda siwezi kumuua jamani no neva on this world
Huko nyuma niliteseka sana sasa nimepata tulizo na barafu ya moyo wangu :)

Na anae kwamisha penzi lako kwa mme wako utamfanyaje? Si umeona huyo jirani yako akaamua kunyofoa uhai wa mme ambae hampendi.
 
Na anae kwamisha penzi lako kwa mme wako utamfanyaje? Si umeona huyo jirani yako akaamua kunyofoa uhai wa mme ambae hampendi.

nampa warning ya hatari akiendelea nitajua la kumfanya kwa sasa haijatokea ....
enjoy ur day ngoja nikapike ;)
 
Mijitu mingine miongo sana.

utajj naona unagombana na kivuli :)
kama hupendwi kalagabaho kila kitu na wakati wake lazima sasa nijivunie hilo penzi ikitokea siku likageuka shubiri utanisaidia wewe ????
 
ni bora ukae kimya tu wapo wanaolia juu ya penzi wapo wanaoona neema katika maisha kila kitu na wakati wake ni mambo ya nyakati tu:D

Sasa si umeaga unaenda kupika?
Vikiungulia au mzee akichelewa kula utajibu nini? Kama kweli wampenda nenda kapike.
 
utajj naona unagombana na kivuli :)
kama hupendwi kalagabaho kila kitu na wakati wake lazima sasa nijivunie hilo penzi ikitokea siku likageuka shubiri utanisaidia wewe ????

Nani unamdanganya? u and me we know the truth and i will keep it that way unless you...or sink the script.
 
Ebwana Nyama Chabez iko wapi nije na FirstLady, nadhani keshamaliza kupika...ngoja nimcheck..

Komredi kiwanja kipo maeneo ya tegeta huko mwisho mwisho kabisa ni pazuri ijapokuwa sijaend asiku nyingi

FL..ni vema kama tukakubaliana na ripoti ya daktari wa jirani yako, unless kuna ushahidi kuwa alimuua labda kwa kumchoma kisu au kumpiga risasi etc
 
Inaonyesha wewe hujui kupenda wewe huyo unae sema wampenda kumbe geresha tu muulize MJ1 anavyo teseka utapata jibu.

Mkuu Fidel80, we acha tu! Haya mambo ya kupenda mhhhh! ;)
 
Jamani tusikimbilie kuhukumu kwamba mke kamuua mwenza, tu kwa sababu kaamua kuishi na serengeti boys.

Kupata mwenza mara kabla ya kutimiza kukaa eda integemea na mtu.

Mimi binafsi naamini kuwa:
1. mfiwa anaweza kuamua kuoa/kuolewa haraka kutokana na maumivu ya upweke. Ukizingatia ni mama amefiwa na mume, inatisha kulala peke yako. Hebu niambie baada ya kufiwa na kuzika palikuwa na ndugu waliokaa na mama huyo kumpa company? kama hana ndugu au rafiki wa kuwa naye karibu huenda ni hali hiyo imemfanya apate mwenza haraka ili kuondoa upweke. Ingawa kiutamaduni wa mwafrika ndo tunapeana uchawi tena.

2. Mfiwa naaweza asiowe/asiolewe kwa kuwa haoni kama atapata wa kuziba pengo, wapo wengi waliooshi bila kuoa au kuolewa baada ya kufiwa.

Ukiacha taratibu za kimila n.k. kuoa au kuolewa muda mfupi baada ya kufiwa inabidi tumwachie mhusika mwenyewe, hatujui nini kitamsaidia kupata usingizi na aendelee kuishi.

Naomba msimtenge huyo mama, maana majirani nao ndo kama hivyo washaanza, ooh, kaua ili aolewe. TUSIHUKUMU mwachieni Mungu ahukumu kila moja kwa dhambi aloitenda.
 
sawa kabisa hatuhukumu ngoja tusubiri mungu ahukumu mwenyewe
lakini Boss 1 month ni muda mfupi sana kuamua jambo kubwa kama hilo
 
Na Si umeona huyo jirani yako akaamua kunyofoa uhai wa mme ambae hampendi.

Nimesoma thread inavoenda nikashindwa hata kuelewa kama kweli kuna ukweli wowote kuhusu shutuma zinazoelekezwa kwa mke za kusababisha kifo cha mume.Kwani ni mara ngapi mke anakufa na mume anaoa hapohapo na hakuna mtu anamshutumu kuwa ameoa haraka haraka bila shaka yeye ndio kamuua mkewe! Ingekuwa hivyo, basi aslimia karibu 80% ya wanawake wanaokufa basi ingesemekana wameuawa na waume zao maana waume huoa punde.

Pamoja na kuwa sishabikii au kufagilia kitendo cha mwanamama huyu kukimbilia kuolewa immediately, nadhani huyu amejaribu kubadilisha mwelekeo kwa kufanya kitu ile roho yake inataka.Wanawake huwa wanajali sana jamii itamfikiria vipi kama ataolewa baada ya mume kufa kama ambavyo hapa huyu anadhaniwa kamuua mumewe ili aolewe. Halafu kitu kingine hatujaambiwa kama mmama huyo ana watoto au la maana hii ni material fact, na je walikuwa na uhusiano vipi na marehemu kwa maana ya maelewano ya mke na mume?Pia 35 yrs bado anadai... na ni haki yake kupata mwenzi mwingine...mimi najua cases kadhaa ambapo kwa mfano mume alikuwa na nyumba ndogo baada ya kupata pesa nyingi na kusahau kabisa familia.Alipoishiwa huko nyumba ndogo akarudi main house ambapo mama alishaanza maisha ya kujitegemea kwa kuchacharika na ujasiriamali.Huyo bwana aliporudi hakukaa hata wiki akafariki maana alirudi mgonjwa. Yule mama alichofanya alisafiri na maiti ya mumewe kwenda kuzika na kesho yake akapanda ndege kuelekea kwenye mihangaiko yake na hakujali nani atasema nini.
Nadhani hatupaswi kuhukumu mambo yanayowatokea majirani zetu maana hatujui undani wa maisha yao. KITANDA MTU USICHOKILALIA HUTAJUA KUNGUNI WAKE WANAUMA NAMNA GANI.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom