Mapenzi, mahaba nayaachaje?

Teheee teheeeee eti sanaaa aya vizuri!!

Wala sina haraka , wee endelea kuliamsha tuu lkn siku likikusimamia mmmhhhhh sijuiiii [emoji125] [emoji125] .

Uko unatoka lini ?? Au iwe ivi wakat unasubiri kutoka ,,uwe unachomoka Mara moja moja [emoji8] [emoji8]

Usiwe kama huyu
 
Noma sana kweli unaonekana umefika kikomo

Yaani wee acha tuu ni zaidi ya ukomo.... kutapika si kutapika... kuhema si kuhema... kupumua si kupumua.....

Acha tuu ......

Yuko wapi yule wangu wa muhibuu ujumbe umfikie aje aniafu..
 
Ooh jizuie kutapika Kasie maana usijeitapika na nyongo kabisa

Nyongo mtoa roho dadaa bora itoke ahueni ipatikane maana Kasie huku ni hoiii taabani sijijui sijitambui.
Nimekamatika kamatiko takatifu.
 
Niko huko uliko kwenye utawala wako aka Russia.....

Siku ya siku ikinisimamia itabidi usisimue ili msimamo usisimshe masisimuko hadi hapo hali ya mawimbi itapokuwa shwari.

Kazi kwako..... kufuzu kwako ni kumpa Kasie ahueni atoke kwenye lindi la mahaba.
 
Hahahahhaa maneno yako tuuu mwanamke weee nakufananisha nabinti alofunzwa na makungwi toka angali mdogo...sipatiii picha ukikalia naniiiiii.

Hahahahahahah tukutane sasa kama naww upo apa,,, wabongo hatutupani popote tunapokua ....
 
Wahindi wnaita Mohabbatein

Kungekuwa na uchaguzi wa kurekodi sauti na kuiweka humu ningeimba huu wimbo wa kihindi maana kuuandika sijui kama ntaweza.....

Ngoja najaribu. ..

Tunnadi nahii. ..aaaaaaaaaah
Maaskuti nahiii aaaaahhhhhh
Tunnadi nahii........
Maaskuti nahiii...........
Muuskatinotena......
Kutch Kutch otahee. ....

Taaalkuti naaahiii
Taaalkuti notaheee. ....
Naaaheenee Naaaheenee
Kutch Kutch otaheee
Naaaheenee Naaaheenee
Kutch Kutch otaheee

Hehehehehehee nacheka utasema mazuri looh

Asante kunipeleka Bollywood.
 
MaShaAllah pumbazo la nafsi hakuna budi isipokuwa njiwa azifikishe tu hizo salam.......Huba lipo kitanzini,Moyo u shakani,Ama kweli mwenye kupenda hana hiyari Kasie
 
Hahahahhaa maneno yako tuuu mwanamke weee nakufananisha nabinti alofunzwa na makungwi toka angali mdogo...sipatiii picha ukikalia naniiiiii.

Hahahahahahah tukutane sasa kama naww upo apa,,, wabongo hatutupani popote tunapokua ....
hahahah sema wewe kiazi,Nisiseme mie mizizi. Waridi huvutia kila aina ya vipepeo
 
hahahah sema wewe kiazi,Nisiseme mie mizizi. Waridi huvutia kila aina ya vipepeo
Mkuuu maisha yenyewe mafupi...ngoja nikomaeee na kasiee tuuuu huyu mwanamke nahisi Dude likilala analiamsha na busu zitoooooo huku akilikanda kandaaa na nakitambaaa vhenye uvugu uvuguu.[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

Kasieeeeeeee
 
Hahahahhaa maneno yako tuuu mwanamke weee nakufananisha nabinti alofunzwa na makungwi toka angali mdogo...sipatiii picha ukikalia naniiiiii.

Hahahahahahah tukutane sasa kama naww upo apa,,, wabongo hatutupani popote tunapokua ....

Yaani wewe hunitakii mema...... looh
Niko hoiii taabani tena bado waniita nikalie hiyo..... khaaaa....

Yuu wapi yule muhibuu wangu aje aniafu na lindi hili la mapenzi bin mahaba.....

Si kwa kuchoka huku.
 
Hahahahhaa ndo unataka kuninyima kilichopo katikati yamiguu yako nn ??[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
MaShaAllah pumbazo la nafsi hakuna budi isipokuwa njiwa azifikishe tu hizo salam.......Huba lipo kitanzini,Moyo u shakani,Ama kweli mwenye kupenda hana hiyari Kasie

Hahahahahaa mkuu wa kitivo cha mashairi.....

Ungejua nnavoburudika nayo.....

Napataje hiari sasa ilhali sijijui sijitambui walau utambuzi huo nnao. .....

Umenikumbusha huyu mtu Mtambuzi hata sijui yuko wapi.... sijamsikia kitamboo.

Aka Kasinde.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…