Pole Kasieeee ....post zako huwa zinaniamshaaaa !!!..
Usife moyo ,ukija kukutana na mjuzi wa mapenzi ,hutasahau karaha zoteeeeee.
mapenzi matamu sana mkizama pamoja, kuibuka pamoja na kuelea pamoja...nimependa sana uwazi wako,Pole kwa kushikwa na mshangao. .... ndo hivyo...
Hahahahaha nmeishia kujichekea tuu et naaamsha dugudeeeee [emoji8] [emoji8] .Asante Putin,
Nashukuru kama siku zote nimekuwa chachandu kwako kila usomapo maandishi ya Kasie huku wewe unaamka aka unaamsha aka unaliamsha dugudee.... hehehee nacheka huku nalia....
Mahaba si mahaba tena.
Mapenzi machungu lkn hatutaki kuyaachia ndo inabidi tu yawe matamuAsante kushukuru....
Ila ndo hivo Kasie si mahaba tena...
mapenzi matamu sana mkizama pamoja, kuibuka pamoja na kuelea pamoja...nimependa sana uwazi wako,
mapenzi raha sana.
kila la kheri Kasie.
Hahahahaha nmeishia kujichekea tuu et naaamsha dugudeeeee [emoji8] [emoji8] .
Serious unamaneno yakimzahaa yanayoamsha genye mnooo..yaaan mpaka namaliza kusoma Post ..Dude limeamka ..Siku moja uyaseme nikiyasikia kwa masikio yangu