Mapenzi kwangu yamenikataa

Mapenzi kwangu yamenikataa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,482
Reaction score
65,797
Habarin za usiku,

Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa muda wa miaka mitatu sasa.

Sasa juzi nilimuomba meeting tukutane, akasema ana hamu ya ice cream basi nikamwambia tukutane hapo Azam ya Kariakoo yeye anakaa kigamboni. Basi mimi nikafika pale mapema piga simu hapokei, nikasema huyu atakuwa anaoga nikasema ngoja niende kwaza Mt. Joseph Posta nikasali kidogo.

Nilingia ibadani saa kumi nikatoka kumi na mbili kasoro hakupiga simu, nikaamua kuondoka nipo Fire kwenye gari ndiyo ananipigia. Eti nilikuwa mbali na simu naoga nakuja, saa moja hiyo, nikamwambia fanya mambo yako!

Nafika home namba ngeni inanicheki inaniambia wewe mshikaji najua unatembea na demu wangu, achana nae kabisa tena futa mazoea, nikaingalia ile namba WhatsApp nikakuta amewekwa dp.

Huyo demu ana mtoto na alimpata wakat mimi na yeye tuna mahusihano na siyo wangu but mapenzi yananguvu mimi nilizama wote, nikawa namhudumia mtoto aliniomb msamaha ndiyo maana kumbe yeye ananichora.

Sasa siwezi msahau halafu nampenda bado, japo nilienda kumpokonya vitu nilivyo mpa, sasa nifanyeje?
 
Mkuu, mapenzi hayana mjuzi, ukipenda unakua kenge, ukiachwa unapata maumivu makali hayasikii panadol au pain killer yoyote. What you can do, tafuta demu mwingine haraka akupe stress mpya ili usahau stress za zamani. Vinginevyo utakua chizi.
 
Habarin za usiku,

Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa muda wa miaka mitatu sasa.

Sasa juzi nilimuomba meeting tukutane, akasema ana hamu ya ice cream basi nikamwambia tukutane hapo Azam ya Kariakoo yeye anakaa kigamboni. Basi mimi nikafika pale mapema piga simu hapokei, nikasema huyu atakuwa anaoga nikasema ngoja niende kwaza Mt. Joseph Posta nikasali kidogo.

Nilingia ibadani saa kumi nikatoka kumi na mbili kasoro hakupiga simu, nikaamua kuondoka nipo Fire kwenye gari ndiyo ananipigia. Eti nilikuwa mbali na simu naoga nakuja, saa moja hiyo, nikamwambia fanya mambo yako!

Nafika home namba ngeni inanicheki inaniambia wewe mshikaji najua unatembea na demu wangu, achana nae kabisa tena futa mazoea, nikaingalia ile namba WhatsApp nikakuta amewekwa dp.

Huyo demu ana mtoto na alimpata wakat mimi na yeye tuna mahusihano na siyo wangu but mapenzi yananguvu mimi nilizama wote, nikawa namhudumia mtoto aliniomb msamaha ndiyo maana kumbe yeye ananichora.

Sasa siwezi msahau halafu nampenda bado, japo nilienda kumpokonya vitu nilivyo mpa, sasa nifanyeje?
Siamini kama taifa hili limekuwa na vijana wa hovyo namna hii.
 
Una umri wa miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom