Mapenzi kwangu mzigo,,,

Mapenzi kwangu mzigo,,,

Mkami Lum

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
414
Reaction score
96
Mwaka 2005, nliingia rasmi ktk mapenz. Nkawa na binti mmoja akaolewa nikiwa masomoni. Wa pili nikiwa naye nlimtambulisha hadi nyumban nikiwa ninania ya kumuona nikamfumania. Watatu nikiwa chuo nikampata mwngne mmasai, 2kapendana sana, wakati penz lmepamba moto kuna siku akanambia anamimba alafu sio yangu. Niliumia sana,, sasa wadau mnanishauri nin maana umri unaenda na moyo wangu umechoka kupenda coz kama ni maumivu yamezidi, najaribu kujilazimisha kupenda lakin moyo hautaki. Naomba ushauri
 
pole meeeeen wenzio hayo tushazoea tunachukulia poa tu. Just omba sana ni heri uchelewe but upate kilicho bora kuliko kuwahi na kuambulia vimeo
 
pole kaka asilimia kubwa huwa unapenda wewe na hao kuna kitu wanapenda kwako ie...pochi n.k
 
unatafuta mke?huwa nashangaa sana why vijunior member vinaingia na gia hizi?
 
unatafuta mke?huwa nashangaa sana why vijunior member vinaingia na gia hizi?

sio hivyo my dear...jamaa yuko na stress za kutendwa!!! wewe hayajawahi kukuta? usiombe utendwe na mpenzi wako uliyempenda kiukweli!!!
 
^^
Nasi tuna maumivu yetu tunasema tu na mioyo yetu.
Usiyatafute sana mapenzi utaumia.
Yuko wako subiri tu.
^^
 
Tafuta mtu sahihi, sehemu sahihi na wakati sahihi.

Bongo hii ninayoifaham mimi? Of corse wapo but wachache sana,nilishaachana nao long time,waongo sana,wezi..ujanja ujanja tu wakipumbavu...kiukweli nimewapotezea sana,waliowengi si waaminifu.
 
Utue tu...mbona unang'angania kuubeba!

Afa acha kustruggle sana kutafuta that's desperation boy na utaendelea kuumizwa milele!
 
Mwaka 2005, nliingia rasmi ktk mapenz. Nkawa na binti mmoja akaolewa nikiwa masomoni. Wa pili nikiwa naye nlimtambulisha hadi nyumban nikiwa ninania ya kumuona nikamfumania. ......
Una matatizo kwa nini utake kumuona, lazima kwa mtindo huu utafumania tu. Hiki ni kilio cha kujitakia, waswahili husema ukimchunguza bata huwezi mla. Omba kwa mungu umpendae usimfumanie.

Ushauri kwako, achana na kuoa mbona mapadre wapo wanadunda bila kuoa? Mimi sioi ng'o
 
pole meeeeen wenzio hayo tushazoea tunachukulia poa tu. Just omba sana ni heri uchelewe but upate kilicho bora kuliko kuwahi na kuambulia vimeo

Asante, ntafatilia hlo wazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom