JAMEN yeye mwenyewe amechek udhaifu wake kwanza, Maana kule kwe2 kuna ndege 1 kla shimo analopanga kuish analcfu kunuka lakn ukwel n kuwa yeye ndege mwenyewe ananuka kwa hiyo ile arf kweny shimo aisambai ndipo yeye anaic kuna harf nzito ndan ya shimo.
Duh! Pole yako.
Ila, kwani lazima uoe au kwani ni lazima uwe na mpenzi?
pole kaka asilimia kubwa huwa unapenda wewe na hao kuna kitu wanapenda kwako ie...pochi n.k
Moyo wangu umekufa ganz, sijiskii kuwa na mwanamke saiz, weng hawaeleweki
hata mwanamume pia asiaminiwe,sema USIMUAMINI SANA BINADAMU.Who knows kua yeye ndo alikua source of all matatizo?Pole sana....
usimwamini sana mwanamke.
Yeshakua hayo tena?acha kuleta mfumo dume humu ndani.Kwahiyo kama woman is nothing ye itamsaidia nini katika kumpata mwenza anayemtaka?watu mnajidai mwaifahamu vizuri bible wakati hamuyaishi yaloagizwa katika hiyo bible.pole xana brada, lkn we ni mwanaume na umepewa mamulaka makubwa hapa dunian na pia kwa kupendelewa zaidi mungu alikuumba kwa mfano wake, xo kwann upewe stress na kiumbe ulichopewa ukitawale, be a man bhaana......... wanawake hamna kitu. xoma bible vzuri then utajua hw women is nothing for Gent's.
Mh!nahitaji kamusi for sure!JAMEN yeye mwenyewe amechek udhaifu wake kwanza, Maana kule kwe2 kuna ndege 1 kla shimo analopanga kuish analcfu kunuka lakn ukwel n kuwa yeye ndege mwenyewe ananuka kwa hiyo ile arf kweny shimo aisambai ndipo yeye anaic kuna harf nzito ndan ya shimo.
. Pole Sana! Kama unajihisi umechoka kupenda - TAKE A BREAK. Kamwe huwezi kujilazimisha kupenda. Moyo utakapokuwa tayari utapenda tu, ila maombi yatahusika sana ili nawe umpate anayekupenda maana it looks like unapenda usipopendwa.Mwaka 2005, nliingia rasmi ktk mapenz. Nkawa na binti mmoja akaolewa nikiwa masomoni. Wa pili nikiwa naye nlimtambulisha hadi nyumban nikiwa ninania ya kumuona nikamfumania. Watatu nikiwa chuo nikampata mwngne mmasai, 2kapendana sana, wakati penz lmepamba moto kuna siku akanambia anamimba alafu sio yangu. Niliumia sana,, sasa wadau mnanishauri nin maana umri unaenda na moyo wangu umechoka kupenda coz kama ni maumivu yamezidi, najaribu kujilazimisha kupenda lakin moyo hautaki. Naomba ushauri
pole xana brada, lkn we ni mwanaume na umepewa mamulaka makubwa hapa dunian na pia kwa kupendelewa zaidi mungu alikuumba kwa mfano wake, xo kwann upewe stress na kiumbe ulichopewa ukitawale, be a man bhaana......... wanawake hamna kitu. xoma bible vzuri then utajua hw women is nothing for Gent's.
. Pole Sana! Kama unajihisi umechoka kupenda - TAKE A BREAK. Kamwe huwezi kujilazimisha kupenda. Moyo utakapokuwa tayari utapenda tu, ila maombi yatahusika sana ili nawe umpate anayekupenda maana it looks like unapenda usipopendwa.
Tafuta mtu sahihi, sehemu sahihi na wakati sahihi.