Mapenzi kwangu mzigo,,,

Mapenzi kwangu mzigo,,,

Pole saana hayo matatizo yapo kila kona,cha msingi tuliza akili kwanza usifanye papara unaeza ukaumia tena cha mwisho muombe Mungu akupe mke mwema na atakupatia.
 
Walkua size yangu

bro,na_share n ww the same pains! Juz kati nimerudi lkzo nikadhan nienjoy kidogo n kipenz changu,dah! Yaliyonikuta cntosahau! Nimefka cku y kwnza nikaonana naye flesh,lkn ckupewa unyumba cku hyo! Nikasema poa! Cku ilyofuata nikapigiwa cmu tukutane sehemu,nikadhan naenda kuhudumiwa flesh kutoa ugwadu wa miez sita nikiwa shule,dah! Kumbe karata dume! Mwisho nikaombwa 30,000 akasuke,nikaruka! Ckumpa kumbe ilkuwa nususa kwngu! Cku ilyofuata,nikafanya kama suprise nikaenda jion hadi kwao! Nikakuta kitoto nikakiulzia kama nimemkuta! Nikaambiwa hayupo n alkuwa ametoka muda mrefu! Kupga cmu haikupokelewa! Nikbmua kwnda kw rfk yke n akampigia cmu akapokea akisema kuwa yupo Bar n mshkaj n hadi mshkaj akapewa cmu wakaongea n rafk yke! Toka y hapo nikashndwa kuchukua uamuz wowote ila kichwa kikaanza kunigonga! N huyo n wa nne sasa,dah.
 
Sio hvyo mkuu, n wao 2 coz nawafanyia kias kwamba wanardhka ila cjui n kwann. Na baadh yao wananambia wanajuta kuachana na mie

simpo.. hao wanaojuta kukuacha waambie warudi kwako
 
You really sound desperate... Jipe muda kidogo kwa kufanya mambo yatakayoishughulisha akili yako. ....niliwamiss sana ndugu zanguni hapa....wapo wapi marafiki wa zamani @aspirin
 
Sasa kama hujisikii kupenda si uache kwani lazima. Hivi huwa mnapendaje aisee, watu wenyewe usanii mwiiiiiingi halafu mnawekeza??!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom